Naitaji kupata mafunzo ya upishi kwa kozi fupi ya Mwezi Mmoja

BB_DANGOTE

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2023
Posts
388
Reaction score
561
WanaJF Habari

Naomba msaada wa kuunganishwa na kozi fupi ya mapishi, Maana nimegundua Furaha yangu Kubwa ipo kwenye Chakula kizuri

Muda Wangu ni mchache Kwa hiyo Zile za veta miezi Sita Sito ziweza

NB
Kama Ipo basi Naomba Taarifa Kama Haipo basi ambao Wapo Tayari waje PM Tuungane Tuweke Fedha kwenye hii project ya Muda mfupi.

Karibuni
 
Taja Ulipo Wadau Wakusaidie
Thread Yako Ipo Too General
Mfano Wewe Upo Maganzo Shinyanga
Utaelekezwa Eneo Jirani

Ulivyoandika Yaani Nyamisati Uambiwe Kozi Inatolewa Ngara Nyamiaga Utakwenda
 
Muda mwingi Nipo Dodoma
 
WanaJF Habari

Naomba msaada wa kuunganishwa na kozi fupi ya mapishi, Maana nimegundua Furaha yangu Kubwa ipo kwenye Chakula kizuri

Muda Wangu ni mchache Kwa hiyo Zile za veta miezi Sita Sito ziweza

NB
Kama Ipo basi Naomba Taarifa Kama Haipo basi ambao Wapo Tayari waje PM Tuungane Tuweke Fedha kwenye hii project ya Muda mfupi.

Karibuni
Kama huhitaji cheti, nenda youtube
 
Kila la kheri mkuu Uje kutufyatulia vitu kama hivi
1790419846504.jpg
1790419724578.jpg
 
Back
Top Bottom