BB_DANGOTE
JF-Expert Member
- Sep 25, 2023
- 388
- 561
Muda mwingi Nipo DodomaTaja Ulipo Wadau Wakusaidie
Thread Yako Ipo Too General
Mfano Wewe Upo Maganzo Shinyanga
Utaelekezwa Eneo Jirani
Ulivyoandika Yaani Nyamisati Uambiwe Kozi Inatolewa Ngara Nyamiaga Utakwenda
Utapata Msaada Chap Chap Kulingana Na Eneo LakoMuda mwingi Nipo Dodoma
Kama huhitaji cheti, nenda youtubeWanaJF Habari
Naomba msaada wa kuunganishwa na kozi fupi ya mapishi, Maana nimegundua Furaha yangu Kubwa ipo kwenye Chakula kizuri
Muda Wangu ni mchache Kwa hiyo Zile za veta miezi Sita Sito ziweza
NB
Kama Ipo basi Naomba Taarifa Kama Haipo basi ambao Wapo Tayari waje PM Tuungane Tuweke Fedha kwenye hii project ya Muda mfupi.
Karibuni
Mwachiluwi unaitwa hapa.
Jamani Mwachi kumpa darasa hadi Pesa? Nweiii atasoma hapo na atakujia huko pmAna pesa kma anayo pesa aje PM na mda wakumfundisha ni jion
Asante SanaUtapata Msaada Chap Chap Kulingana Na Eneo Lako
Nenda Mwambao, Chef Asili, Simba Hotel, Morena
Shishi, Malizia Veta
Sawa sawaAna pesa kma anayo pesa aje PM na mda wakumfundisha ni jion
Sawa sawaKama huhitaji cheti, nenda youtube
Hakika Mkuu
Huyu juu ni samaki gani?