Naitaji mtu wakumsaidia kuwekeza kwenye soko la mbao

Jukumu langu litakuwa ni kumtafutia na kumconnect na wenye mbao, boriti nk

Nikiwa na maana atayeitaji kununua mashamba ya miti apasue mwenyewe

nitamtafutia mashamba na kumuunganisha na wenye mashamba ukiitaji kuanzia heka 1 hadi 70 yapo ni hela yako tu

Kwa yule wakuitaji mbao na boriti nitamtafutia yenye bei nzuri kuanzia mbao mia 700 hadi laki 8 kutegemea unaitaji kiasi gani? kuhusu soko vibali hilo ni jukumu lako

Na kwa atayeitaji mabanzi pia nakukusanyia hata ukiitaji mabanz laki utayapata
Pia miti kwaajili ya nguzo ipo

Location:njombe number yangu 0743014032 au njoo pm nitakutumia picha za hayo mashamba na kila kitu karibun tuwekeze kwenye soko la mbao no utapeli ni wewe tu na mtaji wako na muda wako Mimi utanifikilia baada ya kukukamilishia kazi
Hii biashara inaweza gharimu mtaji wa shi ngapi ili kuweza kuiona faida
Eneo la biashara dodoma
 
Mkuu mr pipa mambo vipi tajiri ? Ni mwezi huu tutakutana katika uzi wa maafisa ili mbivu na mbichi zijulikane kusanya mtaji tu .
Safari hiyi nimejipanga si mchezo Nina kama m9 hizo za kumlisha tu sasa niulize stake IPO shingap asee atapigwa mpaka achakae na nimehama mkoa kwaajili yake nisipo mpiga b3 sio mm 🤑🤑🤑🤑 hapa maafisa wenzangu tu watanielewa
 
Arudi Bombay arudi Bombay .
Zitakuwa zinasikika ni sauti za maafisa wakiwa wanamliza .

Ukweli ni kuwa nimemisi kukorofishana naye hata kwa kumtusi yeye na ukoo wake kikubwa mtaji nimuandaa vizuri kwahiyo nasubiri tu filimbi zianze kulia basi
 
Jukumu langu litakuwa ni kumtafutia na kumconnect na wenye mbao, boriti nk

Nikiwa na maana atayeitaji kununua mashamba ya miti apasue mwenyewe

nitamtafutia mashamba na kumuunganisha na wenye mashamba ukiitaji kuanzia heka 1 hadi 70 yapo ni hela yako tu

Kwa yule wakuitaji mbao na boriti nitamtafutia yenye bei nzuri kuanzia mbao mia 700 hadi laki 8 kutegemea unaitaji kiasi gani? kuhusu soko vibali hilo ni jukumu lako

Na kwa atayeitaji mabanzi pia nakukusanyia hata ukiitaji mabanz laki utayapata
Pia miti kwaajili ya nguzo ipo

Location:njombe number yangu 0743014032 au njoo pm nitakutumia picha za hayo mashamba na kila kitu karibun tuwekeze kwenye soko la mbao no utapeli ni wewe tu na mtaji wako na muda wako Mimi utanifikilia baada ya kukukamilishia kazi
Mimi nina mbao na boriti za kutosha natafuta mteja.
Mbao zipo marneo ya Njombe uelekeo wa Songea.
Kama kuna mnunuzi nicheki kwa nsmba 0785 872 256
 
nipe bei yako na idadi nikuletee mteja chapu kuna jamaa anataka mbao elfu kumi
 
Niungnishe na mteja.
nikikuunganisha na mteja kesho simu ikihalibika sitakuwa na hela ya kununulia pia gar angu itakosa mafuta ya kukutafutia wateja wengine so mteja yupo na ni kaz yangu kumpanga ww na kukuletea anakulipa bei yako so tegemea wiki ijayo ila bei yako itabak kama ilivyo yangu mia tatu kwa kila 3200+300= nazan umeelewa ila sipend usumbufu na epuka dhuruma
 
Haina shida kabisa. Leta mteja changu nachukua. Chakwako nakupa
 
Back
Top Bottom