Naitangaza rasmi Simba SC kuwa Bigwa wa TPL 2018/2019


Kumbe Wewe leo ndiyo umejua kuwa Simba SC itakuwa Bingwa? Mwenzako tokea tu Ligi Kuu ( TPL ) ilipoanza nilijua mapema kwamba Simba SC itautetea tena Ubingwa wake pasipo na shaka yoyote na kuna uwezekano pia kama hizi Timu zingine hazijajipanga na kujidhatiti hasa Kiusajili na Kiuchumi basi kuna uwezekano mkubwa mno kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa TPL hata kwa miaka 10 kama hata siyo 20 mfululizo.
 
Msimu huu ni mwepesi kuliko uliopita ambapo timu haikua chini ya Zahera
Huyu Zahera asingekua muongeaji na angekua hana pesa za kuwapa posho wachezaji wake asingekua Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…