Naitilia shaka Flamingo restaurant (Dar Intl Airport)

Naitilia shaka Flamingo restaurant (Dar Intl Airport)

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ukifika Dar Intl Airport na ukaingia pale FLAMINGO RESTAURANT kama upo makini utagundua movements zisizo za kawaida yaan kama kuna biashara isiyo ya kawaida inafanyika pale yaani kuanzia wahudumu na wale walinzi wa kimasai wanakuwa na wasi wasi sana.

Pia kuna baadhi ya vyumba vyoon havifunguliwi muda flani na mara kadhaa unasikia mtu anagugumia humo ndani tena kwa kipindi kirefu. FLAMINGO RESTAURANT mnauza chakula/snacks/vinywaji tu jamani? mbona kama mna zaidi ya hii biashara ya msosi?
 
Siku hizi hamna uwanja wa ndege wa Dar Int. Kuna Jk Nyerere Int. Pia pale kwenye mgahawa hilo ni jambo la kawaida, nilihoji nikajibiwa ni kazi tu.
 
kwa kweli pale FLAMINGO RESTAURANT ni kama wana biashara nyingi tu utashangaa FLAMINGO RESTAURANT ndio pekee wamepewa haki ya kuendesha migahawa yote 3 (DEPARTURE), INTERNATIONAL DEPARTURE & DOMESTIC DEPARTURE. Sitashangaa kusikia chochote kuhusu hawa wahindi.
 
Kwa kweli nami nahisi pale kuna kiwanda/shirika ch(L)a kusaga unga cha taifa (NATIONAL MILLING CORPORATION, NMC) haiitaji uwe na digrii kugundua hili. Hawa jamaa wamepewa nafasi za kuendesha ile migahawa mitatu kimkakati (strategically).
 
Kwa kweli, wale walinzi wamasai huwa hawako comfortable sana na baadhi watu tunaoingia pale, mimi nilifikiri labda ni poor customer service na ubaguzi, kwamba hawapendi wabongo tuingie pale, sasa umenifungua macho.

Hata wahudumu wa pale (Flamingo ya nje, kabla huja check in) huwa hawakuletei bili wakisha kuhudumia, lazima uwakumbushe kwamba umemaliza kula na unataka kulipa, kama hawana shida ya pesa vile.
 
Ukifika Dar Intl Airport na ukaingia pale FLAMINGO RESTAURANT kama upo makini utagundua movements zisizo za kawaida yaan kama kuna biashara isiyo ya kawaida inafanyika pale yaani kuanzia wahudumu na wale walinzi wa kimasai wanakuwa na wasi wasi sana.

Pia kuna baadhi ya vyumba vyoon havifunguliwi muda flani na mara kadhaa unasikia mtu anagugumia humo ndani tena kwa kipindi kirefu. FLAMINGO RESTAURANT mnauza chakula/snacks/vinywaji tu jamani? mbona kama mna zaidi ya hii biashara ya msosi?

nyamaza ndugu miradi ya wenyewe hiyo!
 
Back
Top Bottom