and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Ukifika Dar Intl Airport na ukaingia pale FLAMINGO RESTAURANT kama upo makini utagundua movements zisizo za kawaida yaan kama kuna biashara isiyo ya kawaida inafanyika pale yaani kuanzia wahudumu na wale walinzi wa kimasai wanakuwa na wasi wasi sana.
Pia kuna baadhi ya vyumba vyoon havifunguliwi muda flani na mara kadhaa unasikia mtu anagugumia humo ndani tena kwa kipindi kirefu. FLAMINGO RESTAURANT mnauza chakula/snacks/vinywaji tu jamani? mbona kama mna zaidi ya hii biashara ya msosi?