M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Kwa sasa hawapakui mzigo kama zamani wamebana sana kwa sasa. Hali shwari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allahu akabar
Samahani kusema hili WAKUU Ile ndiosehemu yakupitishia azania kwawatuwakubwa ukiingia flamingoyanje nenda sehemuya chakula pale kulia mojawapo nimlango wa kusukuma ukisukuma kilekioo unaingia flamingoyajuu dep..
mns mzigoukipita pale aupitisec yoyote mhusika. Anaukuta dep lounge kuleunawahusika wanaupokea wananza nandege taa wanajuahili..wakadanganywA kuufunga lakinifunguo wanao flamingos...nzowa nendakaone huumlangoisipoukuta najiungaACT kamaulikuwa hujuiii
hawa watu wanatia shaka hakika wadau mnaosafiri safir hebu pitieni hapo FLAMINGO mujionee watu wanavyokokotoa vitu kupitia mlango TAKA
Moyo tulia mjini kuna vya watukutakuwa na chumba cha kuzungurushia mzigo kabla hajapanda ktk Ndege au akitoka huwa wanautolea pale.