Naitilia shaka Flamingo restaurant (Dar Intl Airport)

Naitilia shaka Flamingo restaurant (Dar Intl Airport)

Wewe unahisi kwa nini wanagugumia humo ndani?
 
Allahu akabar

Samahani kusema hili WAKUU Ile ndiosehemu yakupitishia azania kwawatuwakubwa ukiingia flamingoyanje nenda sehemuya chakula pale kulia mojawapo nimlango wa kusukuma ukisukuma kilekioo unaingia flamingoyajuu dep..

mns mzigoukipita pale aupitisec yoyote mhusika. Anaukuta dep lounge kuleunawahusika wanaupokea wananza nandege taa wanajuahili..wakadanganywA kuufunga lakinifunguo wanao flamingos...nzowa nendakaone huumlangoisipoukuta najiungaACT kamaulikuwa hujuiii

Du mkuu hii ni kweli au
 
hawa watu wanatia shaka hakika wadau mnaosafiri safir hebu pitieni hapo FLAMINGO mujionee watu wanavyokokotoa vitu kupitia mlango TAKA

Duh mkuu umesema, I didn't even think about it, hawa jamaa wakishuka moja kwa moja chooni, mzigo unatiwa kwenye dust bin, cleaner ndio anachukua na kutoa mzigo nje, you so clever man
 
Naamini chini ya awamu hii ya 5 kama ni kweli basi pale watakuwa wameacha huo mchezo.
 
Kama husafiri unaeza enda niende na Mimi nikajionee

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
ukifika pale KWANZA angalia movement za watu mule ndani utashangaa sana asee, wahudumu wana wasi wasi, watu wa kaunta ndo balaa, tena ndege inapotua hasa Ethiopian ndo pilika zinakuwa nyingi sana
 
Ifike pahala kila kitu kiwe wazi
 
Back
Top Bottom