Naitilia shaka Flamingo restaurant (Dar Intl Airport)

Ifike pahala kila kitu kiwe wazi
Huo Usememao Ndiyo Ukweli Ila Mchungu
Kumbuka Haya Yalikuwa Yanafanywa Na Watu Wakubwa Kwa Nyadhifa Zao. Wakati Mwingi Inajulikana Tatizo Hatua Hakuna
 
Mleta mada umeongea ukweli
Walinzi pale muda wote nyuso zao ziko worried na movements zao ni za mashaka
 
Hv hawa watumia madawa ya kulevya hawaonagi hata kinyaa kuwa wanakula mavi ya mtu,,,ptuuuu
 
Mgahawa huu umulikwe kwa makini zaidi
 
Msifuuuu anaekukimbizaa acha tusijisifu tunaekimbia n shida
 
waweke kamera kila kona pale airport kuna vibaka wanakwapua vitu kwenye mabegi ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…