Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Huo Usememao Ndiyo Ukweli Ila MchunguIfike pahala kila kitu kiwe wazi
Kumbuka Haya Yalikuwa Yanafanywa Na Watu Wakubwa Kwa Nyadhifa Zao. Wakati Mwingi Inajulikana Tatizo Hatua Hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo Usememao Ndiyo Ukweli Ila MchunguIfike pahala kila kitu kiwe wazi
Msifuuuu anaekukimbizaa acha tusijisifu tunaekimbia n shidaUkifika Dar Intl Airport na ukaingia pale FLAMINGO RESTAURANT kama upo makini utagundua movements zisizo za kawaida yaan kama kuna biashara isiyo ya kawaida inafanyika pale yaani kuanzia wahudumu na wale walinzi wa kimasai wanakuwa na wasi wasi sana.
Pia kuna baadhi ya vyumba vyoon havifunguliwi muda flani na mara kadhaa unasikia mtu anagugumia humo ndani tena kwa kipindi kirefu. FLAMINGO RESTAURANT mnauza chakula/snacks/vinywaji tu jamani? mbona kama mna zaidi ya hii biashara ya msosi?
Miaka miwili ishapita. Mleta mada kuna mabadiliko?
Aliyefika Airport Amejionea Kuna Jambo Pale