Naitilia shaka Flamingo restaurant (Dar Intl Airport)

Naitilia shaka Flamingo restaurant (Dar Intl Airport)

Fanya yako wewe biashara za watu zinakuhusu nini? watu wametumwa hela mjini hapa sio maneno
 
Allahu akabar

Samahani kusema hili WAKUU Ile ndiosehemu yakupitishia azania kwawatuwakubwa ukiingia flamingoyanje nenda sehemuya chakula pale kulia mojawapo nimlango wa kusukuma ukisukuma kilekioo unaingia flamingoyajuu dep..

mns mzigoukipita pale aupitisec yoyote mhusika. Anaukuta dep lounge kuleunawahusika wanaupokea wananza nandege taa wanajuahili..wakadanganywA kuufunga lakinifunguo wanao flamingos...nzowa nendakaone huumlangoisipoukuta najiungaACT kamaulikuwa hujuiii
 
Nendawanapokula bufe kulia...airport aikosalama sikunyingi nilijua mwakyembe anapotezamda hatasita analijuahilikamaajui akaoneduniA
 
Kingine ujue secyaairport saratani awajamaa wanamabox wanadaivonywaji yalemaboxmengiyanapitishwA bilakuchekiwa kwenyegetililipembeni ya oficeyA fjet bilaWASIWASI TENAIKITOKEA SEC AKAHOJI WANAPIGASIMU MAMLAKA MABOXYANAPITA ELSE WALIKUWA WAKIPITISHAKULEJUU MLANGOUNAOTOKEA
 
hivi umelewa au usingizi maana hueleweki jinsi unavyoandika kama mtoto wa darasa la pili sentensi zinaunganishwa mala hazimaliziwi.....Lala mkuu mwili hautaki tena
 
Wanajua mkuu na kila mtu anajua mzigo unawekwa sawa pale, tatizo nani amfunge paka kengele
 
hivi umelewa au usingizi maana hueleweki jinsi unavyoandika kama mtoto wa darasa la pili sentensi zinaunganishwa mala hazimaliziwi.....Lala mkuu mwili hautaki tena

Hahahahah huyo ndio Pdidy ktk ubora wake mkuu.
 
Last edited by a moderator:
hivi umelewa au usingizi maana hueleweki jinsi unavyoandika kama mtoto wa darasa la pili sentensi zinaunganishwa mala hazimaliziwi.....Lala mkuu mwili hautaki tena

Usiogopeawakufukuzi kazi changia tu
Kwikwiiii
 
lazima wahusika wachukue hatua vinginevyo wataendelea kutuua na wadogo zetu
 
Back
Top Bottom