Biblia inapiga marufuku utumiaji wa neno MKUU
BIBLIA inasema MKUU ni ibilis mnyonya damu, mwovu aliyelaniwa mpotoshaji ambaye yuko dunian kupoteza watu wa MUNGU
Poa poa mkuuKesho nitakuja na mbadala wa neno hilo
Mkuu tumekuelewaAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Naitisha mgomo mkubwa na wa kishindo juu ya neno mkuu
Hili neno halina maana yeyote zaid ya kumutii ibilis yaan shetan
Biblia inapiga marufuku utumiaji wa neno MKUU
BIBLIA inasema MKUU ni ibilis mnyonya damu, mwovu aliyelaniwa mpotoshaji ambaye yuko dunian kupoteza watu wa MUNGU
kuanzia leo tusiwe tunatumia Hili neno
Huu mgomo uwe wa watu wote
Nalaan vikali utumiaji wa neno mkuu
LONDON BABY
Duh mkuu hili ndilo andiko linaloharamisha neno MKUU!?Yohana 12:31 sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo na mkuu wa ulimwengu huu atatupwa kuzimu