Naitisha mgomo wa kutumia neno MKUU

Naitisha mgomo wa kutumia neno MKUU

Huwezi mkuu watu tushazoea kuitana hivo, isitoshe jf hunoga sana mkiitana wakuu, inapendeza Sana.
 
Achana na masuala ya imani MKUU.
Nakutakia usiku mwema
MKUU
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu


Naitisha mgomo mkubwa na wa kishindo juu ya neno mkuu

Hili neno halina maana yeyote zaid ya kumutii ibilis yaan shetan


Biblia inapiga marufuku utumiaji wa neno MKUU

BIBLIA inasema MKUU ni ibilis mnyonya damu, mwovu aliyelaniwa mpotoshaji ambaye yuko dunian kupoteza watu wa MUNGU

kuanzia leo tusiwe tunatumia Hili neno

Huu mgomo uwe wa watu wote


Nalaan vikali utumiaji wa neno mkuu

LONDON BABY
Mkuu tumekuelewa
 
Back
Top Bottom