Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
- Thread starter
- #241
Kulikuwa na kipande cha ziada ambacho nilikitumia kama konekta, alaf konekta nikaweka mfukoniHapa haukuelewa swali lake.... Bomba likikatika.... Hauwez kupata kipande chenye ukubwa hadi wa kuingia ndani ya bomba lingine'!?
Wewe uliungaje au ilo bomba lilikuwa lina bomba la akiba ndio ukalivuta!??