Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Hapa haukuelewa swali lake.... Bomba likikatika.... Hauwez kupata kipande chenye ukubwa hadi wa kuingia ndani ya bomba lingine'!?

Wewe uliungaje au ilo bomba lilikuwa lina bomba la akiba ndio ukalivuta!??
Kulikuwa na kipande cha ziada ambacho nilikitumia kama konekta, alaf konekta nikaweka mfukoni
 
Aiseee safi kwa kipaji kizuuri cha kusimulia.... Watu kibao wana matukio mazito humu.. Shida ni kusimulia na kuandika

Mi mwenyewe ni mmoja wao... Siez kabisa kuandika kimtiririko hivi ....

Ila kwako ni big up mtiririko unamvutia saana msomaji....
Moonlight naijua na ni kweli ipo kuule nishawah kata maji pale miaka ya nyuuma....

Endelea ku analyse tu...
Hongera
 
Watoto zetu ni mitihani nyinyi acha tu
 
Songea nimekaa sana . Tuendelee kuwa pamoja.
 
Asante Sana kiukweli ulezi mtoto akishafikisha 14 kwenda mbele ni mzito jamani mvi zimetujaa kwa stress na muda wote tunawasiwasi ka vibaka acha tu
Kuna bimkubwa mmoja huku kila siku anamtamkia maneno mabaya mtoto wake, sipati picha nawazazi wangu wangekuwa naakili kama zahuyu mama nahisi ningeshaokota makopo. Mtusamehe jaman
 
Kuna bimkubwa mmoja huku kila siku anamtamkia maneno mabaya mtoto wake, sipati picha nawazazi wangu wangekuwa naakili kama zahuyu mama nahisi ningeshaokota makopo. Mtusamehe jaman
Wazazi tunawapenda mno na huwezi a mini huwa tunawasamehe hapohapo kinyume chake Hali ingekuwa mbaya mno, huyo ni wale wazazi wasojielewa Kuna Namna za kukabiliana na watoto watukutu kuvurumusha mineno michafu hapana, Kuna mama mmoja ana mtoto a nakula bangi, Unga na pombe zote unazojua ila ukikuta ana zungumza nae mpaka kijana analia na kumuomba msamaha yaani katika utulivu wa Hali ya juu mno
 
Duh nihatar sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…