Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Mzee ni ngangari (tough), ila ni Mwalimu aliyejaa busara. Je ukaribu alionao kwako, na kwa nduguzo 6 ni hivyo hivyo?
 
story ya mahusiano yako please ahadi ni deni
 
8
 
Mzee ni ngangari (tough), ila ni Mwalimu aliyejaa busara. Je ukaribu alionao kwako, na kwa nduguzo 6 ni hivyo hivyo?
Upendo wake kwa wote upo hivyo hivyo. Japo naweza sema our sister ndio his favourite.
 
story ya mahusiano yako please ahadi ni deni
Nakosa time nzuri ya kuandika, maana humu watu wanatakaga ukianza kuandika usipumzike mpaka story iishe, wanasahau kuna maisha na hatakati zingine nje ya JF
 
Nakosa time nzuri ya kuandika, maana humu watu wanatakaga ukianza kuandika usipumzike mpaka story iishe, wanasahau kuna maisha na hatakati zingine nje ya JF
anza mdogo mdogo unasave ukimaliza unatupia kwenye haya maisha hautapata muda wa kutosha wa kufanya hivyo
 
Kiukwel story inasisimuwa sana hakika wazazi wetu walipitia changamoto nyingi sana ila niombe kitu kwa wadau
Kiufupi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 ila toka nimezaliwa sijwahi kupata nafasi ya kuongea na baba yangu mzee wangu n mkali sana mpaka nikiwa mdogo ilifika muda nikimsikia tu namerudi najificha chumbani ukwel natamani kuskia busara zake na mafunzo kutoka kwake lakini sijawahi pata muda ukwel ni kwamba ujana mwingi huwa una mambo mengi hasa changamoto. Natama kuongea na mzee wangu lakini sipati nafasi muda mwingi maongezi yake anakufokea

Ushauri jamani?
 
Wazazi hufoka kwa watoto, sidhan kwa umri ulionao sasa ataweza kukufokea.
 
anza mdogo mdogo unasave ukimaliza unatupia kwenye haya maisha hautapata muda wa kutosha wa kufanya hivyo
Nilishafanya hivyo one time, alaf simu ikadumbukiaga kwenye maji, ikabidi nibadili maana haikuwaka tena.
 
Nilishafanya hivyo one time, alaf simu ikadumbukiaga kwenye maji, ikabidi nibadili maana haikuwaka tena.
daah kuna mtu anahujumu story isifike huku[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii stor imenivunza jambo la kwanza kuwa na subrah na uvumilivu imekaa njema sana
 
Hii stori imenipa nguvu mpya

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…