Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Tupe story JF uliingiaje mkuu analyse[emoji23], story yako nzuri bila shaka imegusa vijana wengi
 
Yaan nilipomaliza kusoma hii story nimelog off chaaap nikampigia baba yangu. Umenigusa sana moyo wangu. Hata yeye ameona nina jambo sema yuko safarini akifika dar tu nikamuone nimemmiss sana
 
Yaan nilipomaliza kusoma hii story nimelog off chaaap nikampigia baba yangu. Umenigusa sana moyo wangu. Hata yeye ameona nina jambo sema yuko safarini akifika dar tu nikamuone nimemmiss sana
Umefanya kitu kizuri. Mpe salam zangu mzee wetu huyo.
 
[emoji3059][emoji3059] nitampigia muda si mrefu hapa nimsikiee. Nimuelezee na story yako maana hata masaa mawili tunapijaga story[emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28] nasubiria mrejesho mkuu.
 
alisema walizaliwa watoto saba, yeye akiwa mtoto wa sita. Vipi kuhusu hao kaka zake au dda zake walikuwa na maoni gani kwakwe???? maaana kinachoonekana hapo mapambano kati ya baba na mwana, kwakuwa alikuwa na ndugu zake waliomtangulia wao walikuwa na maoni gani, ushauri gani juu yake?????
 
Analyse njoo mara moja
 
Bahati mbaya mwanzoni sikuwa na simu, alaf hata baadae nilivyopata simu sikuweza kuwasiliana nao nyumbani. Kwanza namba zao sikuwa nimezishika kichwani, na hata sehem niliyokuwa nimezinakili, kale kadaftari kalipoteaga kwenye harakati zangu.

Kama umesoma story mwanzo mwisho, kuna sehem nilikutana na mzee kwenye harakati. Sikuchukua namba zake, ila pamoja na yeye kuwa aliipata namba yangu toka kwa watu niliokuwa nao, wala hakuwaambia nyumbani na hakuwapa hiyo namba.

Kiufupi sikuwahi kuwasiliana na wakubwa zangu toka niondoke, hadi pale nilivyorudi home kwa mara ya kwanza.

Mtoto wa kwanza sister, huyo ni kama mama yetu kwenye familia. She was worried kuliko the rest. Alivyosikia nimerudi home, hakutaka niruhusiwe kuondoka tena, alihisi nitapotea kwa miaka mingi tena.

Nakumbuka when love life started driving me nuts, she always worried naweza jiua [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

(one day nitaweka story kuhusu maisha ya mahusiano yangu tu bila kuchanganya na issue zingine)
 
Back
Top Bottom