Ikombabhuki
Member
- Jan 17, 2021
- 97
- 240
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefanya kitu kizuri. Mpe salam zangu mzee wetu huyo.Yaan nilipomaliza kusoma hii story nimelog off chaaap nikampigia baba yangu. Umenigusa sana moyo wangu. Hata yeye ameona nina jambo sema yuko safarini akifika dar tu nikamuone nimemmiss sana
[emoji3059][emoji3059] nitampigia muda si mrefu hapa nimsikiee. Nimuelezee na story yako maana hata masaa mawili tunapijaga story[emoji28]Umefanya kitu kizuri. Mpe salam zangu mzee wetu huyo.
Analyse njoo mara mojaalisema walizaliwa watoto saba, yeye akiwa mtoto wa sita. Vipi kuhusu hao kaka zake au dda zake walikuwa na maoni gani kwakwe???? maaana kinachoonekana hapo mapambano kati ya baba na mwana, kwakuwa alikuwa na ndugu zake waliomtangulia wao walikuwa na maoni gani, ushauri gani juu yake?????
Bahati mbaya mwanzoni sikuwa na simu, alaf hata baadae nilivyopata simu sikuweza kuwasiliana nao nyumbani. Kwanza namba zao sikuwa nimezishika kichwani, na hata sehem niliyokuwa nimezinakili, kale kadaftari kalipoteaga kwenye harakati zangu.alisema walizaliwa watoto saba, yeye akiwa mtoto wa sita. Vipi kuhusu hao kaka zake au dda zake walikuwa na maoni gani kwakwe???? maaana kinachoonekana hapo mapambano kati ya baba na mwana, kwakuwa alikuwa na ndugu zake waliomtangulia wao walikuwa na maoni gani, ushauri gani juu yake?????