Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Pia sababu imewekwa jukwaa la mapenzi ndio maana sikuiona,huku nimeanza kuingia majuzi tu nilikuaga napotezea hili jukwaa
Sikutaka kuiweka kwenye jukwaa la entertainment, kwasababu kule zimejaa hadithi na fictions.
 
Tuko pamoja mkuu
Yaani simulizi yako imenifanya Leo niwe nawaza tuu vitu Fulani nje ya jf.Mungu akubariki sana na awabariki wazazi wako kwa upendo wao!
Pale alipokupa 1.7m kachozi kalinitoka aseehh
 
Sijuhi unaendelea na mishe mishe gani lkn hii story yafaa itengenezewe filamu iwafikie vijana wengi
 
Yaani simulizi yako imenifanya Leo niwe nawaza tuu vitu Fulani nje ya jf.Mungu akubariki sana na awabariki wazazi wako kwa upendo wao!
Pale alipokupa 1.7m kachozi kalinitoka aseehh
Family ndo starting point yetu, yafaa tuithamini Sana yani.
 
Hapana bora alivyoondoka na huo ndo uanaume ila mzee ni bonge la staa yaani mzee nimemuelewa mnooo...mpk raha aseehh!!kauzu ila ana upendo mnooo!!
Dingi safi Sana. Hanaga maneno mengi.
 
Back
Top Bottom