Pia kitambo sijarudi SongeaNa mda mrefu Sana sjaenda huko nikipata nafas kwenda songea huwa naishia peramiho ndio home japo nasikia kumebadirika Sana sababu hata hospital ya wilaya ya songea vijjin imejengwa huko
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Pamoja chief"Dunia ya leo kila unayemuona anamatatizo yake kiasi kwamba anakosa hata muda wa kukuonea huruma ww. Hivyo unapoongea na watu tegemea sana msaada wao,ila usitegmee huruma yao." Asante sana [emoji1431]
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hapana bora alivyoondoka na huo ndo uanaume ila mzee ni bonge la staa yaani mzee nimemuelewa mnooo...mpk raha aseehh!!kauzu ila ana upendo mnooo!!Angejua angebaki nyumbani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani simulizi yako imenifanya Leo niwe nawaza tuu vitu Fulani nje ya jf.Mungu akubariki sana na awabariki wazazi wako kwa upendo wao!Tuko pamoja mkuu
Angejua angebaki nyumbani [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Family ndo starting point yetu, yafaa tuithamini Sana yani.Yaani simulizi yako imenifanya Leo niwe nawaza tuu vitu Fulani nje ya jf.Mungu akubariki sana na awabariki wazazi wako kwa upendo wao!
Pale alipokupa 1.7m kachozi kalinitoka aseehh