Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Dah ulikuw una jambo la kuweka sawa na mshua sio bure[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Aisee kumbe kweli ilipaswa uzungumze na mzee[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wangu huwa tunaongea naye akilewa....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Oy bro Analyse Hebu lete another hustling experience kuhusu maisha yakoo
Nimetingwa kidogo kwasasa. Ila panapo majaaliwa, anytime mwezi ujao nitaweka kisa kingine. Maana ili kutengeneza peace na Mshua, nililazimika kurudi shule, tukapoteza hela nyingi kunirudisha kwenye mfumo, na hata baada ya kumaliza, mambo hayakwenda kama tulivyotarajia
 
Bro Analyse umepitia safari ndefu. Though na Mimi yangu ni ngumu na ndefu ila maybe nikifanikisha Jambo fulani. Basi nitaweka wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…