Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Kuna watu mmejaaliwa kipaji cha utunzi na uandishi mzuri, hongera mkuu Analyse kwa story nzuri ya maisha yenye kufundisha na kuburudisha.

Kuna mahali nimeona umezungumzia chuo lakini nikakumbuka ulisema uliishia form 4 kulikoni? Nanukuu hiyo sehemu
"Hapo nilikuwa nimeshasota sana kwenye kilimo na ujasiliamali. Nishasota kitaa bila kazi baada ya kumaliza chuo. Dunia yote naona ipo kinyume na mimi."
 
Sio wewe tu mkuu. Wengi sana hii story hawakuielewa. Unakuta mtu anasema "Kwa uandishi huu, ww hujaishia form 4". Atleast wewe umeweza kuraise question.

Sikuweza kuwajibu au kuwalaumu, maana story zangu huwa nazileta kulingana na matukio yapi nataka kuyasimulia. Ndio maana kwenye issue za mapenzi, huwa naongelea mapenzi tu, issue za hustle huwa naongelea hustle tu. Na lengo la kufanya hivyo ni ili story iwe fupi iishe bila kipigiana kelele na wasomaji. Hii story nililenga kuelezea hustle zangu baada ya kudrop maswala ya shule na kuingia kitaa, japo baadae nilikuja kurudi tena shule. Na hata wakati naandika hiyo story nilikuwa nishamaliza chuo.

Next month nikitulia nitaandika story ya life after kurudi shule mpaka chuo lilivyokuwa. Na nitalenga portion hiyo tu.

Naviziaga wik end, hasa Ijumaa, ili kufikia jumapili iwe imeisha. Tuombeana uzima mkuu.
 
Umeeleweka mkuu naomba uni tag ukikamilisha.
 
Pole my dear, nimeumia eti
 
Hongera sana kaka. Kuongea na mzazi ni jambo muhimu sana hasa ukiwa nao. Real appreciate bro
 
Kuna kigongo kipya kitaingizwa Jf kwa mara ya kwanza kabisa.
Wale wapenzi wa vitu vya kijasusi vilivyoshiba msikose hii kitu ..(MABADUNI WA SERIKALI).
Kigongo kina sura sita tu, na bado sura mbili kikamilike.


Ningepost lakini naijua arosto ya wadau humu wanaweza kukuombea dua mbaya hivyo naiheshimu sana hadhira.
Wakosoaji wasikose, narudia tena, wasikose. Maana wanaleta ukamilifu ambao nautaka...
SOON TO BE THERE.
 
Uzi mzuri...

Hii ni AMRI ya Mungu mwenyewe...

Waheshimu baba yako na mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi ktk nchi uliyopewa na Bwana Mungu wako...

Mafanikio yapo hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…