Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Nakuja
 
Mkuu hapo moonlight ndio home yani
Karibu kabisa na kwa marehemu dokta wela hapo[emoji41]
 
3
 
Narud
 
Asante Sana mkuu KWA muda wako.. Tumejifunza meeng mazuri kupitia ww na umekuwa daraja zuri kututia moyo wale tuliokata tamaa

Maisha ni safari ndeefu Sana yenye milima na mabonde mengi...na Siri ya kutoboa kwa mtu ipo kwa aina mbalimbali... wazazi wako ni Moja ya daraja lako la mafanikio mpaka ulipo hapo leo

Nimejifunza utii, Uaminifu na wema unalipa Sana maishani...Unapopanda mbegu njema leo manufaa makubwa utayaona maishani (Malipo ni hapa hapa duniani)
 
Pamoja sana mkuu. πŸ‘Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…