Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Mungu akutangulie umalize vyema, Jah blessKuna maneno mazito humu,
Na kuna nilichojifunza, kuna jambo limewahi kunitokea kati yangu na mzazi mwenzangu same story na ya baba yangu
Linanitesa sana kifikra huenda nikizungumza na mzee wangu nitaelewa akimalizana nalo vipi