Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

@Analysi kwhy wale ndg zako wengine walikuonaje/walikupokeaje au walikuwa na mtazamo gani baada ya ww kurudi home na kuamua kuanza upya ukiwa na baraka za wazazi.
 
Analyse we ni mwanaume katika wanaume. Story yako nzuri sana na mpe heko mzee wako kwa kuwa mzazi bora. Asingekukazia usingekua hapo ulipo

Hivi waweza kuniambia uanaume wake ukwapi??

Nimewaza tu angekuwa na baba asiyekuwa na hela ingekuwaje??

Kuacha shule na kufanya vibarua ndio uanaume?

Basi wapo wanaume wengi tu tunao wanafanya hayo.

Hapo kwangu mwanaume Ni babake...huyu ndie shujaa hasaa
 
Story safi.
Ila nimeshindwa kuelewa...


Yaani wazazi wako vizuur kiuchumi na kiushauri... Umemaliza elimu safi.. Muda mchache unasubiri ajira.


Alafu eti unaongea na baba ako huku unalia...


Dah.... Hapa kuna walakini katika malezi yako ya utoto...
Ni mwiko mtoto wa kiume kulia lia katika mazingira ya kawaida km yako.

Hapo ndio umevuruga kila kitu...
 
Mie nilidhani nmepitia magumu ila nmekunyanyulia mikono, babaako hana tofauti sana na babaang aiseee uwiiiii, kuna vijisehemu vimenitoa machozi kama mama nikawaza yule mwanang alipoteaga kwa masaa tu nilihisi kuzirai sembuse miaka yoteee ,hongera sana Mkuu
Acha kupagawa wewe....

Yeye hajapotea... Uyo aliaga na akapewa chaguo pamoja na mtaji wa kutosha..

Umjini mjini na mawenge binafsi ndio yaliyopelekea ayumbe..

Na hakuwa anateseka kwa lolote..
Zaid zaid alichotufundisha ni kuhusu upotezaji wa pesa. Basi
 
Mkuu kipindi choote cha simulizi sijaona sehemu unamtembezea mtu gwaji-boy...

Au we haukuwa mtu wa kupenda chini?
Au haujaandika tu kwenye story .... Kufupisha urefu wa simulizi.

Maaana kupambana bila PAPUCHI mkuu hakuna huu utaratibu.. Labda uwe na matatizo binafsi.
 
Hapana ni masaa 22 sasa tangu uandike hiyo koment ...

Masaa tumetofautiana mkuu ...

Lakini all in all sio mbaya !
Pole, niliikopi jana kila anayeomba nikawa nampestia sasa hivi haipo tena na kukopi listori lote lile si kazi nyepesi jana nilipata tabu sanaa, Iabda anayetumia PC inaweza kuwa rahisi
 
Pole, niliikopi jana kila anayeomba nikawa nampestia sasa hivi haipo tena na kukopi listori lote lile si kazi nyepesi jana nilipata tabu sanaa, Iabda anayetumia PC inaweza kuwa rahisi
Sawa ubarikiwe !
 
Back
Top Bottom