Naj: Toka Niachane nae Sijapata Mtu kama Mr Blue

Naj: Toka Niachane nae Sijapata Mtu kama Mr Blue

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya ambaye huwa anaishi na kufanya Kazi nchini Uingereza Naj amefunguka kuwa Tangu aachane Mr Blue zaidi ya Mwaka mmoja na miezi kadhaa iliyopita hajawahi kukutana na Mwanaume na wala hajawahi kumpenda mwanaume yeyote.

Naj amefunguka hivi karibuni kabla hajaelekea U.K akaendelea kunitiririkia kuwa alikua na Mr Blue kwa miaka mitano na ikaishia kwa yeye kukimbiwa na Blue akamkana hadharani na kuanzisha mahusiano na mwanadada mwingine hali iliyomhuzunisha na kujutia muda wake.

Naj akamalizia kwa kuniuliza Je angeutumia muda huo kwa kupiga kazi si angekua mbali sana? kwa hiyo sasa hivi anacho angalia ni kazi tu kwa kwenda mbele, yuko singo.
 
umalaya wake na uongo plus na utoto wa kishua uliomfanya asiyajue mapenzi ndio chanzo cha kukimbiwa
 
Kwa hiyo hili ni tangazo anatafuta au aaaaa wap yaan Uk akose wanaume wa maana hapo nabishiiii labda ana bakulii
 
hana lolote umalaya unamsumbua,

domo kashapita hapo:nod:
 
Inabidi tukupelek kwa wanamaombi binamu, litakuwa pepo tuu, ebu andaa laki unapona fasta..

Laki hela au ninii mi mchaga kwenye pesaa utaambulia maneno tu hapaa
 
Back
Top Bottom