Najaribu kuwa single ila nashindwa, wenzangu mnawezaje.??

Najaribu kuwa single ila nashindwa, wenzangu mnawezaje.??

Miongoni mwa faida za kuwa single ni kujipanga kiuchumi, kujijenga kiafya na kutimiza malengo.

Natamani kuwa single hata miaka miwili ili nijipange ila kila nikitoka nje nikikutana na wanawake nahangaika mno.

Nikiona mtu yuko na mpenzi wake Naona wivu najihisi mpweke mno.

Kifupi najihisi mpweke mno
Muda mwingine nipo geto mvua inanyesha daah I wish I niwe nakula mbunyenye ila sitaki.

Wakuu munawezaje?????
Nisaidie tafadhali
Na kingine nikukumbushe ulichokisahau'apo!

Lile kojo la asubuhi, jogoo huwa linanyooka sawasawa na kutaka kupanda mtungi wowote ule ili liwike.

Sa'apo mmiliki wake ndipo unapoanza kuwakumbuka na kuwalilia ma X wako Mrudiane, kujaza vch kwenye simu na kuanza kuwatext.

Wakikupa masharti ya Kajala kwa Harmopeople, utaona ni kupata na siyo kupoteza.

Kijana tuliza akili ili uweze kwenda na vyote bila stress yoyote na huo ndiyo uanaume na majukumu yake, hauwezi kuvikwepa kama wewe ni rijali.

Hakuna aliyeyapatia maisha kwa kuishi msimbe, sana sana ni mateso na mahangaiko.

Kuwa na mwanamke ndani bila kujali ni mke, kimada ama hawara ndivyo nafsi zinavyowatuma wanaume kuwa, ni maagizo na baraka kutoka juu.

Kusikiliza ushauri wa oa ama acha kuoa ni kukupigia miluzi mingi mbwa, utashindwa kuaksi uelekeo sahihi.

Za kuambiwa changanya na za kwako, alamsiki.
 
Miongoni mwa faida za kuwa single ni kujipanga kiuchumi, kujijenga kiafya na kutimiza malengo.

Natamani kuwa single hata miaka miwili ili nijipange ila kila nikitoka nje nikikutana na wanawake nahangaika mno.

Nikiona mtu yuko na mpenzi wake Naona wivu najihisi mpweke mno.

Kifupi najihisi mpweke mno
Muda mwingine nipo geto mvua inanyesha daah I wish I niwe nakula mbunyenye ila sitaki.

Wakuu munawezaje?????
Nisaidie tafadhali

UNA UMRI GANI?
Yaani hela ilivyo ngumu mtu agawe tu hovyo hovyo huku pengine amepanga chumba kimoja na pia anakimbizana na daladala na bajaji kwenda kibaruani; NENDA kwa mchungaji ukaombewe!
Fanya kazi za kuchosha mwili na jipe muda wa kufikiria maisha yako ya baadae lakini pia Acha kuangalia video za NGONO!
 
I mean no malice to nobody.

tangawizi 1, vitunguu swaumu punje 7, limao 1, twanga tangawizi na kitunguu swaumu pamoja.

Chemsha kwa moto wa kawaida, weka limao yote ikisha chemka, kutwa mara 2-3, 1 week au uwezavyo.
Hapa mkuu hakuna kuchanganya maji hata kidogo, i mean nina chemsha tangawizi, swaumu na maji ya limao tu..????
 
Miongoni mwa faida za kuwa single ni kujipanga kiuchumi, kujijenga kiafya na kutimiza malengo.

Natamani kuwa single hata miaka miwili ili nijipange ila kila nikitoka nje nikikutana na wanawake nahangaika mno.

Nikiona mtu yuko na mpenzi wake Naona wivu najihisi mpweke mno.

Kifupi najihisi mpweke mno
Muda mwingine nipo geto mvua inanyesha daah I wish I niwe nakula mbunyenye ila sitaki.

Wakuu munawezaje?????
Nisaidie tafadhali
Wewe kutoboa ni ngumu sana. Mvua ikija unawaza ngono? Watu wengi wangeona mvua wakawaza ngono sijui chakula tungepata wapi!
 
Nazani Shida Yako wewe sio kua single.
Shida yako ni ubahiri & Nyege.

Embu waone CHAPUTA, watakupa Muongozo
 
Back
Top Bottom