Najaribu kuwa single ila nashindwa, wenzangu mnawezaje.??

Najaribu kuwa single ila nashindwa, wenzangu mnawezaje.??

Uwe unatugea na ushauri wa kupata hela 😀😀😀
Ushauri wa kupata hela sii nilikupa ukaringa....nimekwambia tuchukue nyumba uwe mke wangu hela utakuwa unapata tuu hutaki. Sasa nikusaidiaje
 
I mean no malice to nobody.

tangawizi 1, vitunguu swaumu punje 7, limao 1, twanga tangawizi na kitunguu swaumu pamoja.

Chemsha kwa moto wa kawaida, weka limao yote ikisha chemka, kutwa mara 2-3, 1 week au uwezavyo.
Nmejaribu nimeshindwa kunywa
 
Kuwa single ni kipaji..
Fatilia nyuzi za dr haya land must uwe single...

Soma kitabu cha mackzube kinaitwa fishing rod

Kuwa single ni ngumu kama uzingatii kanuni YAKUZ YAVUZ
 
Back
Top Bottom