Najaribu kuwa single ila nashindwa, wenzangu mnawezaje.??

Na kingine nikukumbushe ulichokisahau'apo!

Lile kojo la asubuhi, jogoo huwa linanyooka sawasawa na kutaka kupanda mtungi wowote ule ili liwike.

Sa'apo mmiliki wake ndipo unapoanza kuwakumbuka na kuwalilia ma X wako Mrudiane, kujaza vch kwenye simu na kuanza kuwatext.

Wakikupa masharti ya Kajala kwa Harmopeople, utaona ni kupata na siyo kupoteza.

Kijana tuliza akili ili uweze kwenda na vyote bila stress yoyote na huo ndiyo uanaume na majukumu yake, hauwezi kuvikwepa kama wewe ni rijali.

Hakuna aliyeyapatia maisha kwa kuishi msimbe, sana sana ni mateso na mahangaiko.

Kuwa na mwanamke ndani bila kujali ni mke, kimada ama hawara ndivyo nafsi zinavyowatuma wanaume kuwa, ni maagizo na baraka kutoka juu.

Kusikiliza ushauri wa oa ama acha kuoa ni kukupigia miluzi mingi mbwa, utashindwa kuaksi uelekeo sahihi.

Za kuambiwa changanya na za kwako, alamsiki.
 

UNA UMRI GANI?
Yaani hela ilivyo ngumu mtu agawe tu hovyo hovyo huku pengine amepanga chumba kimoja na pia anakimbizana na daladala na bajaji kwenda kibaruani; NENDA kwa mchungaji ukaombewe!
Fanya kazi za kuchosha mwili na jipe muda wa kufikiria maisha yako ya baadae lakini pia Acha kuangalia video za NGONO!
 
I mean no malice to nobody.

tangawizi 1, vitunguu swaumu punje 7, limao 1, twanga tangawizi na kitunguu swaumu pamoja.

Chemsha kwa moto wa kawaida, weka limao yote ikisha chemka, kutwa mara 2-3, 1 week au uwezavyo.
Hapa mkuu hakuna kuchanganya maji hata kidogo, i mean nina chemsha tangawizi, swaumu na maji ya limao tu..????
 
Acha ujinga wewe kula mbususu za hawa kenge watamu balaaaa.
Wewe usisake mapenzi wewe saka ngono utaishi stress free na kibunda utakuwa nacho.
Ila ukisaka mapenzi stress + kibunda kuisha ni uhakika
Uwe unatugea na ushauri wa kupata hela 😀😀😀
 
Wewe kutoboa ni ngumu sana. Mvua ikija unawaza ngono? Watu wengi wangeona mvua wakawaza ngono sijui chakula tungepata wapi!
 
Tulivyo wengi duniani unakuwaje single, unaupa mwili adhabu kali sana.
 
Nazani Shida Yako wewe sio kua single.
Shida yako ni ubahiri & Nyege.

Embu waone CHAPUTA, watakupa Muongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…