Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Well saidHawa watu hawajui kuwa kadiri siku zinavyokwenda ndiyo nchi inavyozidi kuwa ngumu. Watu hawajui kuwa hata wanaopiga kelele sasa hivi wanaitakia nchi salama siku zijazo. CCM haina tena ujanja sasa hivi imebaki ku-hang up kama timu inayojihami dakika za mwisho isifungwe goli. Tatizo ni kuwa huu ''mpira'' wa CCM vs wananchi hauishi. Siku nchi itakapolipuka kwa fujo za watu kuchoka na maisha magumu kila mtu ataathirika na kujuta.
Mawazo yako yaheshimiwe.Hizi nchi zote mnazoziona zimeendelea... wananchi wake wameuawa haswa... tena kwa sheria kali haswa... Watanzania mnapenda kudeka sana.. Jk nchi ilimshinda kabisaa.. sema alikuwa na mahusiano mazuri na wafanyabiashara na wahisani kutoka nje... JPM wananchi tulipigika lakini kuna vitu tuliviona... tena kwa muda mfupi... sasa hali ni mbaya kuliko unavyofikiria...
MpuyangoVipaumbele. Wakati wa JPM pesa ilielekezwa kwenye miundombinu ya reli, umeme na madaraja makubwa ya juu na chini. Hapo mbona ni rahisi tu kuelewa
Jakaya alijenga 6000km Barbara za lami,udom,chuo kikui Cha jeshi,pandisha mishahara kila mwaka,boresha muhimbili na Jenga mloganzila,ruzuku pembejeo kilimo,kilimo kwanza,mikopo elimu ya juu bila ukakasi,kumbuka lami kilomota moja ni zaidi ya bilioni mbili za kitanzania,Sasa piga hesabu hiyo miradi ya ujenzi ya magu pesa iliyotumika mpaka anakufa na miradi ya jakaya,Fanya lami tuMiradi inakula Sana hela
Kama umewahi kujenga nyumba utaelewa kuwa ujenzi unatumia gharama kubwa Sana
Sasa JPM alizidiwa imbalance ikatokea.
Barbara kilomita moja ni bilioni mbili unusu,jakaya alijenga kilomita elfu sita,linganisha na mradi wa jnhp ambao magu aliuacha ukiwa 30%Barabara ni kitu kidogo sana haili hela nyingi kama bwawa la umeme . Ujenzi wa reli.
Bei ya kununua Ndege moja tu ni kubwa sana kuliko kujenga barabara
Mfumuko wa Bei kipindi Cha jakaya ulikua asilimia ngapi na magu ngapi?..unga,mafuta,sukari wakati wa jakaya kilo ilikua Bei gani na magu Bei gani?Mimi ni mwalimu ambaye niliajiriwa kipindi Cha kikwete lakini najuta kuajiriwa kipindi hicho maana kulikuwa na mfumuko wa bei kiasi kwamba mshahara wote uliishia kwenye mahitaji.mshahara ulikuwa mdogo sana yaani ilikuwa hakuna tofauti na jobless angalau kipindi Cha Magufuli mfumuko wa bei ulitulia na sisi walimu tukawa tunatembea vifua mbele maana mshahara ulitosha Kwa mahitani yetu.
Acha kukaza fuvu mkuu, katika halmashauri nayofanya kazi watu wioajiriwa kipindi chote cha Magu ni 12 tu na watu zaidi ya 180 waliajiriwa kipindi Cha miaka miwili ya mwisho ya JK (14/15)Usiwe kama kiande, hakuna awamuam ambayo watu hawakuajiriwa
Usibishe kwa pumba sisi wenyewe tunaona huko makazini kuna raia kibao waliajiriwa zama hiyo ya Magu na shuhuda zipo
Vitu vidogo,Nyerere aliwezaje kusomesha vijana vyuo vikuu, ndani na nje, bure, serikali iligharamia,Jakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani
JPM hata mwaka mmoja tu alishindwa na kuleta visingizio kibao eti hakuna nchi iliyoajiro graduate wote. Sasa swali linakuja JK aliwezaje?
Mass unemployment aliyoicha JPM mpaka sasa inamtesa Samia sijui ataimalizaje. Ndio maana anastruggle sana kuifanya sector binafsi ikue ili angalau kuwapunguza graduate waliopo mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana enzi za JPM.
JK tunakukumbuka sana.
Does it mean kwamba kipindi cha jpm hakukukuwa na mahitaji ya walimu? Hivi ukisoma marthus theory of population inavyokuwa. Rudi shuleVitu vidogo,Nyerere aliwezaje kusomesha vijana vyuo vikuu, ndani na nje, bure, serikali iligharamia,
Aliwezaje kutoa ajira kwa kila kijana aliyemaliza kuanzia LA saba na kuendelea?
Ni Mambo ya idadi ya watu tu,
Kwa kikwete, shule zilikuwa chache,vyuo vya ualimu vichache pia, kwa hiyo Kuajili ilikua raisi, kila mhitimu alipata nafasi,
Shule za kata zimeanza kujengwa kipindi cha kikwete, 2005-2015, zilipokqmirika idadi ya wanafunzi, ni wengi, na mahitqji ya waalimu ni makubwa, na wahitimu wa ualimu ni wengi, shida, mfuko wa serikali hauwezi, Kuajili wote, pesa haitoshi,
Naomba nitajie barabara iliyojengwa kwa shilingi bilioni mbili na nusu kwa 1 km kipindi cha Jakaya?Barbara kilomita moja ni bilioni mbili unusu,jakaya alijenga kilomita elfu sita,linganisha na mradi wa jnhp ambao magu aliuacha ukiwa 30%
Kwa mujibu wa nani,wewe!?..mzee mkapa alijenga kilomita moja kwa bilioni moja,kipindi hicho Dola moja buku,vifaa/malighafi gani za ujenzi zilizoshuka mkuu!?..lami,vifusi,kokoto,mafuta ya mitambo, really!?..kwamba Sasa Bei zipo relatively chini kuliko miaka 18 iliyopita?Naomba nitajie barabara iliyojengwa kwa shilingi bilioni mbili na nusu kipindi cha Jakaya?
Kama kwa sasa pamoja na mfumuko wa bei kilomita moja ya barabara ya lami yenye viwango inagharimu bilioni 1 tu.
Miaka zaidi ya kumi nyuma ujenzi na zana zake kiujumla gharama zilikuwa chini sana milion 250 ilikuwa inatosha kabisa kujenga km 1 ya barabara ya lami kwa kipindi cha kikwete.
Barbara kilomita moja ni bilioni mbili unusu,jakaya alijenga kilomita elfu sita,linganisha na mradi wa jnhp ambao magu aliuacha ukiwa 30%
Barbara kilomita moja ni bilioni mbili unusu,jakaya alijenga kilomita elfu sita,linganisha na mradi wa jnhp ambao magu aliuacha ukiwa 30%
RIP JPMMiradi inakula Sana hela
Kama umewahi kujenga nyumba utaelewa kuwa ujenzi unatumia gharama kubwa Sana
Sasa JPM alizidiwa imbalance ikatokea.
Umesahau kuanzisha mradi wa umeme vijijini REA.Jakaya alijenga 6000km Barbara za lami,udom,chuo kikui Cha jeshi,pandisha mishahara kila mwaka,boresha muhimbili na Jenga mloganzila,ruzuku pembejeo kilimo,kilimo kwanza,mikopo elimu ya juu bila ukakasi,kumbuka lami kilomota moja ni zaidi ya bilioni mbili za kitanzania,Sasa piga hesabu hiyo miradi ya ujenzi ya magu pesa iliyotumika mpaka anakufa na miradi ya jakaya,Fanya lami tu