Najaribu kuwaza Jakaya Kikwete aliwezaje kuajiri Walimu na Madaktari wote katika kipindi chake wakati Hayati Magufuli hata mwaka mmoja alishindwa

Kwani kati ya hao wawili ni nani angalau alionesha nia na kujitahidi kulinda rasilimali za taifa na kuwatoa tongo tongo kwenye baadhi ya mambo muhimu ambayo yalikuwa yanaendelea hapa nchini bila wanainchi kujua?

Kama wewe ni miongoni mwa wale mnaojiita watoto wa mjini mliokuwa mmezoea kuishi maisha rahisi ya shortcut na mawazo yako yameishia kwenye tumbo lako tu, ni lazima utakuja na thread za namna hii
 
 
Kwamba reli ya SGR na daraja la Busisi ni hasara kwa taifa?
Ole MPOMBAVU bebe?
 
Si unajua tanzania wapumbavu ni wengi wale waliokuwa wanafurahia kutumbuliwa kwa wafanyakazi ili waje uraiani kufanana na hawa wajinga. Mjinga anafikiri siku zote watu wote wafanane naye ili apate relief
Wewe ndiye MPUMBAVU,unataka watu wasifurahie kuondolewa kwa mfanyakazi fisadi,mzembe na mla rushwa?
PUMBAVU sana wewe.
 
✍️📝👌👍👏🤝🙏🛡️
 
✍️📝👌👍👏🤝🙏💐🎁🛡️
 
Kwa Jakaya ilikuwa ni kuila Nchi !
Kwa Magufuli ilikuwa kuijenga Nchi ! 🙏
 
Nia njema pia kwenye Richmond na pesa kwenye masandarusi !🙏
 
Jk alikuta pesa nyingi sana alizokusanya Mkapa.
JK akawa mtumiaji tu.Laiti angekusanya na kuleta nidhamu ya pesa enzi za utawala wake,hii nchi ingekuwa mbali sana,ni vile aliyeipokea kutoka kwa JK alijitahidi kuleta nidhamu ya pesa na ile kudhulumu haki za watu k.v kikokotoo na mengine mengi vilimsaidia na hatukuona wazi maumivu aliyoacha JK
 
Nafikiri wengine walikua wanajua ugumu wa hayo yote kwakua walijua watatakiwa kutumia fedha nyingi ambazo nchi haina.

Ili JPM afanye haya yote ndiyo ikabidi asiajiri, ikabidi asitishe kuwalipa wenye vyeti feki, ikabidi tenda zitolewe kwa wale watu wa bodi ya uhandisi, ikabidi wafanyabiashara waminywe na hapo hapo ikabidi akope sana kuliko wengine.
 
Si unajua tanzania wapumbavu ni wengi wale waliokuwa wanafurahia kutumbuliwa kwa wafanyakazi ili waje uraiani kufanana na hawa wajinga. Mjinga anafikiri siku zote watu wote wafanane naye ili apate relief
Nawe mTanzania pia
 
Mjomba Magu alikuwa na vision ya kuiondoa nchi hii kwenye visingizio vya kukosa maendeleoa.LAKINI HAKUWA NA MTAJI WA KUTIMIZA NDOTO HIYO,so sad.
Walioshikiria mitaji mikubwa alitofautiana nao,wakampiga chini akabaki mtupu.
Kama Mjomba Magu angejua kula na kupuliza "soft touch kama JK"angetoboa.
Sijui somo la Historia lilimpiga chenga hakujua kwanini The mighty Mwl.Nyerere alishindwa vibaya kutimiza sera ya Ujamaa na Kujitegemea.
 
Approach yake ilikuwa mbovu san aalipaswa awaulize akina jk mana akili yake ilikuwa bado changa kujua mambo
 
Approach yake ilikuwa mbovu san aalipaswa awaulize akina jk mana akili yake ilikuwa bado changa kujua mambo
Tatizo ni chama chake kilichomteua kugombea uraisi bila maanalizi ya uongozi wa taifa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…