Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Watu kama wewe mlikimbia umandeKila mtu alikuwa na kipaumbele chake.
Tunaweza kusema, ilikuwaje JPM akalifufua shirika la ndege lililokufa kwa miaka 6 Tu kwanunua ndege za kutosha huku Jk amekaa madaraka 10yrs na alishindwa.
Tunaweza kusema ilikuwaje JPM akajenga Hydro-plant huku zikiwa ndoto toka enzi za JKN.
Ilikuwaje in 6yrs JPM akajenga Daraja wami pale kuunganisha mikoa ya kaskazini huku toka Uhuru watu walisafiri Kwa shida.
Ilikuaje in 6yrs JPM akaanza kujenga SGR ya umeme, Dar to Mwanza huku wengine ilikuwa maneno tu.