Najaribu kuwaza Jakaya Kikwete aliwezaje kuajiri Walimu na Madaktari wote katika kipindi chake wakati Hayati Magufuli hata mwaka mmoja alishindwa

Hivi hujui kuwa Mkapa aliacha Nchi haina deni hata Shilingi 1,na alilipa madeni yote.
Mambo ya mikopo ameyaanza Kikwete,na hizo fedha alitumia kwa kiasi kikubwa ku finance matumizi ya kawaida kuliko mengineyo.
 
Hizi nchi zote mnazoziona zimeendelea... wananchi wake wameuawa haswa... tena kwa sheria kali haswa... Watanzania mnapenda kudeka sana.. Jk nchi ilimshinda kabisaa.. sema alikuwa na mahusiano mazuri na wafanyabiashara na wahisani kutoka nje... JPM wananchi tulipigika lakini kuna vitu tuliviona... tena kwa muda mfupi... sasa hali ni mbaya kuliko unavyofikiria...
Huyo Jpm ilitakiwa akuue wewe,mumeo,na wazazi wako wote ili maendeleo yawe zaidi ya sasa, maana mazuzu kama nyie na koo yako hamna faida
 
Tatizo la viongozi wa Tanzania kila moja anakuja na mipango yake as if anataka amalize kila kitu yeye mwenyewe huku Nchi huwa inaendelea hata baada ya wao.
1.Kikwete alikopa ku finance matumizi ya kawaida kwa kiwango kikubwa kuliko maendeleo-kiuchumi hii ni zaidi ya tatizo
2.Magufuli alikopo ku finance development projects zenye kiwango kikubwa cha pesa huku hizo pesa wakipewa Wazabuni kutoka Ulaya,Arabs,India na China mwishowe fedha zinarudi huko hali ya uchumi ndani ikawa shida-alitaka afanye kila kitu kwa gharama kubwa jambo lililodababisha uchumi kuharibika.
3.Samia naye hana tofauti na Magufuli ameongeza madeni zaidi ya yale ya Magufuli.

Takwimu za sasa zinaonesha Nchi inatumia zaidi ya trillion 12 kila mwaka ku service mikopo,sawa na makusanyo ya Nchi ya miezi 7-8.
 
Jakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani

JPM hata mwaka mmoja tu alishindwa na kuleta visingizio kibao eti hakuna nchi iliyoajiro graduate wote. Sasa swali linakuja JK aliwezaje?

Mass unemployment aliyoicha JPM mpaka sasa inamtesa Samia sijui ataimalizaje. Ndio maana anastruggle sana kuifanya sector binafsi ikue ili angalau kuwapunguza graduate waliopo mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana enzi za JPM.

JK tunakukumbuka sana.
Umesahau na mishahara hewa, pesa za kuajiri zilikuwepo mpaka za mishahara hewa, Kwa Jk watu waliinjoy sana,

Kwa kifupi JK alikuwa na kichwa kizuri, kichwa Cha baraka, Kila mtu na kichwa chake bhana
 
Kosa kubwa la Magu ni kufikiri alikuwa na akili nyingi kuliko wananchi wengine. Miradi yake mingi aliyoianzisha haikuwa/haina faida kwa wananchi walio wengi.

Mfano badala ya kujenga reli ya kisasa, ni bora mara 100 angejenga barabara za lami nchi nzima! Badala ya kununua ndege, angejenga madaraja ya uhakika, vivuko vya uhakika, na stendi za kisasa nchi nzima!! Yaani kidogo ule mradi wa umeme ndiyo utagusa wananchi walio wengi. The rest naona kwa upande wangu ni hasara tu kwa Taifa.
Ghalama za ukarabato WA leli ziko Chini kuliko barabara kuzingatia mizigo mizito ndio huaribu barabara na ghalama za uchukuzi Kwa tani Kwa km ziko Chini kwa kuitumia reli kuliko barabara.
Km ingefanyika Kwa usahihi na bila huduma za wamiliki WA maroli.
Hivyo automatic maloli yangerud vijijin ambalo hakuna reli na ghalama za ukodishaji magari ya mizigo zingekuwa Chini.

Pia mizigo hasa inayopita ingetolewa bandarin Kwa wakati na kupelekwa Bandar Kavu ambazo zinge kuwa karibu na nchi jirani hivyo nafasi bandarin isingekua tatizo kiasi hicho,msibani WA tankers bandarin za mafuta ungepungua nk
 
Umesahau na mishahara hewa, pesa za kuajiri zilikuwepo mpaka za mishahara hewa, Kwa Jk watu waliinjoy sana,

Kwa kifupi JK alikuwa na kichwa kizuri, kichwa Cha baraka, Kila mtu na kichwa chake bhana
Kama.hukujenga kipindi cha jk. Kwa jpm hata tofali tu ilikuwa issue. Hata bar ukienda ukanywa bia mbili we mwanaume. Lile jibwa lilikuwa lishetani kwa mara ya kwanja shetani alionekana tanzania
 
Ghalama za ukarabato WA leli ziko Chini kuliko barabara kuzingatia mizigo mizito ndio huaribu barabara na ghalama za uchukuzi Kwa tani Kwa km ziko Chini kwa kuitumia reli kuliko barabara.
Km ingefanyika Kwa usahihi na bila huduma za wamiliki WA maroli.
Hivyo automatic maloli yangerud vijijin ambalo hakuna reli na ghalama za ukodishaji magari ya mizigo zingekuwa Chini.

Pia mizigo hasa inayopita ingetolewa bandarin Kwa wakati na kupelekwa Bandar Kavu ambazo zinge kuwa karibu na nchi jirani hivyo nafasi bandarin isingekua tatizo kiasi hicho,msibani WA tankers bandarin za mafuta ungepungua nk
Kwa hali hii basi tungezikarabati reli zilizopo kwa gharama nafuu, badala ya kujenga reli nyingine mpya kwa trillions of money.
 
Hilo ni Sawa ndo maana ya zamani haikutolewa.
Tatizo unapokua na gauge ya reli ambayo mpo nchi chache pia vipuri. Na mitambo kupata ni shida. Hivyo always itakubidi uwe na special order ambayo ni ghali zaidi au upate. Lowest quality ya vipuri kutoka Kwa mwenzako mwenye gauge km yako
 
Tuache maneno..tuitishe kura za maoni tujue nani ni nani? 😂 😂 😂 😂 😂 . watanzania sio wajinga tena
Nchi hii wajinga ni wengi sana na ndio ulikuwa mtaji wa lile shetani lenu la Chato.
 
na mashetani mengine yaliyobaki, yanayowaibia watanzania kila siku yanataka tuamini ni malaika wema. Hatudanganyiki
 
Wafuasi wa"jiwe" mnateseeeka, Mungu hadhihakiwi, he was a real saddist

najua sio mfuasi wa jiwe wala wa awaye yoyote. My pact is with My Lord. Kwahiyo sidanganyiki. Nchi yetu imeharibiwa sana. Na mimi binafsi naamini, tulipo hapa sio pazuri hata kidogo. Tunaenda kwa kusuasua na kubahatisha. Katika hili nawaondoa awamu ya kwanza na ya pili.
Wengine wametengeneza matatizo mengi yanayotusumbua mpaka sasa. Kama wewe Mungu wako ni awamu yoytote, endela na ibada zako. Acha niamini ninachoamini.
Ipo siku mchele utajitenga na pumba
 
Jakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani

JPM hata mwaka mmoja tu alishindwa na kuleta visingizio kibao eti hakuna nchi iliyoajiri graduate wote. Sasa swali linakuja JK aliwezaje?

Mass unemployment aliyoicha JPM mpaka sasa inamtesa Samia sijui ataimalizaje. Ndio maana anastruggle sana kuifanya sector binafsi ikue ili angalau kuwapunguza graduate waliopo mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana enzi za JPM.

JK tunakukumbuka sana.
Huyo mwendazake hakuweza kunununua kwa miaka minne vitabu vya mashule, ndiyo aweze kuajiri?

Ova
 
Jiwe sikuwahi kumkubali hata siku moja

Ila kwenye mradi wa bwawa la Nyerere mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Ni hilo pekee alilofanya la maana kwenye kipindi chote cha uraisi wake
 
Jakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani

JPM hata mwaka mmoja tu alishindwa na kuleta visingizio kibao eti hakuna nchi iliyoajiri graduate wote. Sasa swali linakuja JK aliwezaje?

Mass unemployment aliyoicha JPM mpaka sasa inamtesa Samia sijui ataimalizaje. Ndio maana anastruggle sana kuifanya sector binafsi ikue ili angalau kuwapunguza graduate waliopo mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana enzi za JPM.

JK tunakukumbuka sana.
Jpm ao

jpm na JKN walipenda sana CCM kuliko Taifa.

Ndio maana JPm alikuwa tayari kupoteza Bilioni 5 kila jimbo kurudia Uchaguzi na pesa za ziada kuhakikisha ccm inanyofoa Jimbo kutoka kwa wapinzani.

Tumerudia chaguzi zaidi ya Mara 10 ktk kipindi chake unnecesarily hadi muda unaisha akajikuta hajafanya lolote.
 
Hizi nchi zote mnazoziona zimeendelea... wananchi wake wameuawa haswa... tena kwa sheria kali haswa... Watanzania mnapenda kudeka sana.. Jk nchi ilimshinda kabisaa.. sema alikuwa na mahusiano mazuri na wafanyabiashara na wahisani kutoka nje... JPM wananchi tulipigika lakini kuna vitu tuliviona... tena kwa muda mfupi... sasa hali ni mbaya kuliko unavyofikiria...
Wakuu kwanza wewe na Baba yako na Mama yako ndio tuendelee??

Ujinga mtupu
 
Jizi na jambazi kuu lilikuwa ni lile shetani lenu la Chattle huku likijificha kwa kuwaita wajinga nyie eti wanyonge!
HATUDANGANYIKI
Tuitishe kura za maoni. Watanzania waamue. Sio kuamliwa na wajanja wachache wanaonufaika na deals za mfumo. Then hapo haki itakuwa imetendeka.
Hizi nyingine ni mastory tu kama yale ya marehemu Kibonde kwenye kipindi cha jahazi 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Itisha tu.
Nna uhakika lile shetani lenu la Chattle litazipata za wajinga na washambawashamba aliowqita wanyonge nyingi tu ila sio za wajanja
 
Back
Top Bottom