Najaribu kuwaza, kwa kasi hii ukubwa wa Deni la Taifa 2030 litakuwaje? Je, kuna haja ya kuhofu?

Jamaa mmoja alisema hatuwezi kufuatwa majumbani mwetu kuja kudaiwa hilo deni πŸ™„πŸ˜³
 
Kasi ya ukuaji deni unaionaje ?
 
Kasi ya ukuaji deni unaionaje ?
Sababu za Ukuaji wa deni ni seasonal,riba zikitengamaa na Shilingi kuimarika deni litashuka.

Hilo sio deni la kwanza kugonga headlines,lilikuwepo kubwa zaidi ya Hilo ila.likeshuka Kidogo na kadiri uchumi unavyoimarika Serikali inalipa na riba zitapungua.πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Acha kutetea Ujinga
 
Hofu ya wananchi Ni kwamba je Ni Kwa asilia ngapi pesa zinazokopwa zinaenda kufanya lengo lililokusudiwa pasipo kuwa na upotevu wa pesa yoyote
 
Kwa hii nchi na mali zote ulitegemea tuwe omba omba kila sehemu
Hii mentality ya kipumbavu na kijinga kwamba kukopa ni kuomba nani amekudanganya?

Kwa hiyo kina Marekani,Japan ,nk ambao Wana Madeni kuzidi Uchumi wao ni omba omba?

Hivi mna akili kweli nyie nyumbu? Mnajua ambacho mnaongea au mnaropoka? Kajielimishe Kwa kusoma walau elementary economics
 
Nchi za wenzetu wanakopa sababu hawana hayo ma gold , diamond, tanzanite,mafuta etc ....

Nchi kama rwanda ukiambiwa wanakopa sana unaelewa

Kwa sisi ni sababu hatujui nini cha kufanya na mali zetu

Unakopa pesa unajenga barabara badala ya kukopa kununua mitambo tuchimbe dhahabu tuuze tuingize pesa
 
Wewe fala kweli,Marekani au China hana kitu gani kati ya vilivyopo Tanzania?

Au Angola hana nini labda? Ghana hana kipi? Acha kuwa mjinga,nimekwambia kasome walau elementary economics ujielimishe.
 
Wewe fala kweli,Marekani au China hana kitu gani kati ya vilivyopo Tanzania?

Au Angola hana nini labda? Ghana hana kipi? Acha kuwa mjinga,nimekwambia kasome walau elementary economics ujielimishe.
Wewe falasi kweli sasa ujinga wa Angola ,Ghana na Tz si ule ule ?

Marekani ana Tanzanite?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…