Najaribu kuwaza, kwa kasi hii ukubwa wa Deni la Taifa 2030 litakuwaje? Je, kuna haja ya kuhofu?

Najaribu kuwaza, kwa kasi hii ukubwa wa Deni la Taifa 2030 litakuwaje? Je, kuna haja ya kuhofu?

Binafsi sipingi kukopa ila mambo mawili tu ndiyo ya msingi yananifanya niwaze

1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi.

2. kwa rasilimali tulizonazo tunasitahili kukopo kwa kiasi hiki?

Je, kwa hii kasi tuko kwenye uelekeo sahihi?

========

Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni 77,010.4 (Tsh. trilioni 77.) katika kipindi kama hicho mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 19.1.

Akitoa hotuba ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023, Bungeni Jijini Dodoma leo June 13,2024, Mkumbo amesema “deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 30,753.8 na deni la nje lilikuwa shilingi bilioni 60,954.5”

Itakumbukwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere, wakati akiwasilisha ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma March 28,2024 moja ya aliyoyazungumzia ni deni la Serikali ambapo alisema hadi kufikia June 30,2023 deni la Serikali lilikuwa Tsh. trilioni 82.25 sawa na ongezeko la 15% kutoka Tsh.trilioni 71.31 kwa mwaka 2021/2022, deni hilo lilijumuisha deni la ndani Tsh. trilioni 28.92 na deni la nje Tsh. trilioni 53.32”
Jamaa mmoja alisema hatuwezi kufuatwa majumbani mwetu kuja kudaiwa hilo deni 🙄😳
 
Mbona huzungumzii Ukubwa wa Uchumi wa Nchi?

Mwigulu ameweka wazi kwamba hoja iwe hela zimekopwa zimetumika wapi na sio kukopa au Ukubwa wa deni.

Hata hivyo sababu zilizochangia Ukubwa wa deni ni depreciation of Shiling na kuongezeka Kwa riba kwenye masoko ya Nje yaani floating rates, tofauti watu kudhani Kila deni likiobgezeka basi Serikali imechukua Mkopo Mpya,huo ni upotovu unaosababishwa na ujinga tuu wa kitoelewa mambo.

Mwisho Kuna Rais hajawahi kukopa? 👇👇View attachment 3016862View attachment 3016863View attachment 3016864
Kasi ya ukuaji deni unaionaje ?
 
Kasi ya ukuaji deni unaionaje ?
Sababu za Ukuaji wa deni ni seasonal,riba zikitengamaa na Shilingi kuimarika deni litashuka.

Hilo sio deni la kwanza kugonga headlines,lilikuwepo kubwa zaidi ya Hilo ila.likeshuka Kidogo na kadiri uchumi unavyoimarika Serikali inalipa na riba zitapungua.👇👇
Screenshot_20240613-135342.jpg
 
Kama tunakopa Kwa ajili ya miradi ya kimkakati bila shaka ikikamilika basi serikali itasitisha kukopa na faida ya miradi itakuza uchumi utakaowezesha kulipa madeni.

Binafsi sioni haja ya wananchi kuhofu hebu tuwe na imani na viongozi wetu Kwa maelezo yao wanaonekana wana nia nzuri na nchi yetu na deni bado la kawaida ukilinganisha na mwenendo wa uchumi wetu.
Hofu ya wananchi Ni kwamba je Ni Kwa asilia ngapi pesa zinazokopwa zinaenda kufanya lengo lililokusudiwa pasipo kuwa na upotevu wa pesa yoyote
 
Kwa hii nchi na mali zote ulitegemea tuwe omba omba kila sehemu
Hii mentality ya kipumbavu na kijinga kwamba kukopa ni kuomba nani amekudanganya?

Kwa hiyo kina Marekani,Japan ,nk ambao Wana Madeni kuzidi Uchumi wao ni omba omba?

Hivi mna akili kweli nyie nyumbu? Mnajua ambacho mnaongea au mnaropoka? Kajielimishe Kwa kusoma walau elementary economics
 
Nchi za wenzetu wanakopa sababu hawana hayo ma gold , diamond, tanzanite,mafuta etc ....

Nchi kama rwanda ukiambiwa wanakopa sana unaelewa

Kwa sisi ni sababu hatujui nini cha kufanya na mali zetu

Unakopa pesa unajenga barabara badala ya kukopa kununua mitambo tuchimbe dhahabu tuuze tuingize pesa
 
Wewe fala kweli,Marekani au China hana kitu gani kati ya vilivyopo Tanzania?

Au Angola hana nini labda? Ghana hana kipi? Acha kuwa mjinga,nimekwambia kasome walau elementary economics ujielimishe.
 
Wewe fala kweli,Marekani au China hana kitu gani kati ya vilivyopo Tanzania?

Au Angola hana nini labda? Ghana hana kipi? Acha kuwa mjinga,nimekwambia kasome walau elementary economics ujielimishe.
Wewe falasi kweli sasa ujinga wa Angola ,Ghana na Tz si ule ule ?

Marekani ana Tanzanite?
 
Back
Top Bottom