Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
- Thread starter
- #61
SawaSababu za Ukuaji wa deni ni seasonal,riba zikitengamaa na Shilingi kuimarika deni litashuka.
Hilo sio deni la kwanza kugonga headlines,lilikuwepo kubwa zaidi ya Hilo ila.likeshuka Kidogo na kadiri uchumi unavyoimarika Serikali inalipa na riba zitapungua.👇👇 View attachment 3016888