Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hahahaha..Hivi kwanza binti atajuaje kama ni lake au la mama ake?We nawe unayerusha jiwe wakati ushasikia mengi yamesharushwa utakuwa hujielewi tu.
Mh hapo ni daboHahahaha..Hivi kwanza binti atajuaje kama ni lake au la mama ake?
Zuley..kwenu kweli bati halipitishi mvua!!!Mh hapo ni dabo
kwanini?Zuley..kwenu kweli bati halipitishi mvua!!!
Hayo mawe dabo dabo...kwanini?
Umeyaona? DaboHayo mawe dabo dabo...
Wazo lako halijazingatia hasa wanaoishi nyumba za nyasi.*Yaan apa najaribu kuwaza peke yangu ivi zama zile zakurusha mawe juu ya bati kwakumpa taarifa demu kuwa upo nje je ingekuwa ndo zama izi cjui ingekuaje maana cku izi demu mmoja ana wanaume30 tena mtaa mmoja naona hilo bati litakuwa kama kuna mdundiko [emoji86] [emoji86] [emoji86]
ππππππππ*Yaan apa najaribu kuwaza peke yangu ivi zama zile zakurusha mawe juu ya bati kwakumpa taarifa demu kuwa upo nje je ingekuwa ndo zama izi cjui ingekuaje maana cku izi demu mmoja ana wanaume30 tena mtaa mmoja naona hilo bati litakuwa kama kuna mdundiko [emoji86] [emoji86] [emoji86]