Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Yaan apa najaribu kuwaza peke yangu ivi zama zile zakurusha mawe juu ya bati kwakumpa taarifa demu kuwa upo nje je ingekuwa ndo zama izi cjui ingekuaje maana cku izi demu mmoja ana wanaume30 tena mtaa mmoja naona hilo bati litakuwa kama kuna mdundiko [emoji86] [emoji86] [emoji86]