Najaribu tu Kuwaza!

Najaribu tu Kuwaza!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Yaan apa najaribu kuwaza peke yangu ivi zama zile zakurusha mawe juu ya bati kwakumpa taarifa demu kuwa upo nje je ingekuwa ndo zama izi cjui ingekuaje maana cku izi demu mmoja ana wanaume30 tena mtaa mmoja naona hilo bati litakuwa kama kuna mdundiko [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Wazo lako halijazingatia hasa wanaoishi nyumba za nyasi.
 
Mabati yangekuwa yanabadilishwa kila baada mwezi mmoja
 
*Yaan apa najaribu kuwaza peke yangu ivi zama zile zakurusha mawe juu ya bati kwakumpa taarifa demu kuwa upo nje je ingekuwa ndo zama izi cjui ingekuaje maana cku izi demu mmoja ana wanaume30 tena mtaa mmoja naona hilo bati litakuwa kama kuna mdundiko [emoji86] [emoji86] [emoji86]
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom