Najiandaa kufumania kesho au keshokutwa. Nawaza adhabu mbalimbali za kutoa


Basi mkuu. Siendi tena mkwichi wife . Tutapanga siku nyingine.
 
Wanaume Malaya huwa na wivu Sana, mbona wewe unachepuka, kwa taarifa yako wife kashachepuka siku nyingi hizo message Ni daganya toto. Mtenda akitendwa
 
Nimeshasoma hapa, na mimi muhusika nimeshajijua. Siji ng'o

Ila bro nisamehe nilikuwa namjaribu tu mkeo.
 
Siimshangai mleta mada, najishangaa tu mimi hapa...[emoji41][emoji41]
 
Acha ujinga wewe! Tulizana au utaishia pabaya kisha jamaa litawale kwa mkeo milele. Akili za wapi hizi? 😤😤
 
Ila kuna vitu wanaume wenzangu huwa mnavifanya mimi sijawahi kufanga aisee na sijui kama nitaweza.

1. Wewe unasema namba ya mkeo umempa rafiki yako, mimi kaka yangu mwenyewe toka nitoke namba ya mke wangu (Hapa nasisitiza, ukisoma rudia mara tatu na ukipenda ongeza ziada)

2. Asikwambie mtu, ushemeji ni UMAUTI (Kuendekeza ushemeji ushemeji mwosho wake kutafunana, ila Umagharibi umewaharibu sana watu mpaka wengi katika Wanaume wenzangu wamekuwa "DUYUTHI",je unamjua "Duyuthi" ni nani ?
 

uyo mwanao ana jf?
 
Wanaume wengine ni wa hovyo sana, mimi eti rafiki yako anipigie simu kuaga kwa niqba yako, kwamba umekua mtoto mdogo labda, huo ni undezi
Kwa kweli hata mimi sielewi kivip yaan uombe ruhusa kwa mkeo anakulisha au hahahah any way ndo maisha ila nawasihi vijana msiishi ivyo
 
Kwa kweli hata mimi sielewi kivip yaan uombe ruhusa kwa mkeo anakulisha au hahahah any way ndo maisha ila nawasihi vijana msiishi ivyo
Halafu anajimwambafy kichwa cha nyumba
 
Hiyo hiyo adhabu unayoiwaza ndio hiyohiyo inamfaa!

Tena uchukue na video kabisa
 
Halafu anahamishia hasira kwa rafiki yake aliyemruhusu mwenyewe kuwa na ukaribu nae.

Wanaume wanazidi kupungua
Wanaume wengine ni hovyoo kabisa, ukiishi na mwanaume wa dizaini hiyo unahisi tu unaishi na mwanamke mwenzio
 
Reactions: Luv
Kama mke wako ni mweupe nakushauri usiende atakuwa ni bwana yule anayependa wanawake weupe.. hii ndio mitongozo yake kutumia marafiki
 
Nenda na mafuta akikuwai angalau uterezeshe tu ky akutafune.
Maana sometime unajiamini kumbe unakutana na mawe
 
Hivi mkeo kakubali ufanye tukio hilo?

Piga picha atakavyodhalilika!
Kama ni tukio la kumdhuru jamaa basi mkeo hata baki salama na hata wewe hutabaki salama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…