Najiandaa kufumania kesho au keshokutwa. Nawaza adhabu mbalimbali za kutoa

"Jamaa ampigie simu amwambie kuwa tunatoka"
Yaani hiki kipengere kimenifanya nikose kabisa cha kukushauri ndugu yangu.
 
Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu.nlisoma naye O Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu.

Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa tunatoka wote.

Jamaa alianza kumsifia sifia wife kama utani baadaye nikakata kabisa ukaribu naye nlipoona anazidi sana kutaka ukaribu.mwishowe akaanza mwambia wife kuwa mimi nina diversions nyingi sana.si mwaminifu.

Akaendelea na kuanza tuma texts za mapenzi n.k wife akawa ananionesha.sasa ameomba kabisa game.na anaomba iwe kesho au kesho kutwa yeye atakuwa free aende na wife popote atakapo.

Nimemwambia wife akubali.wamepanga kila kitu.na jamaa katuma 50,000 ya uber ili wife asitumie gari yake.

Sasa nawaza adhabu ya kwenda mpa jamaa. Maana ile 50,000 yake na nyingine ntakodisha watu watatu. Tutaenda sehemu hiyo.nataka nimfanye kitu ambacho yaani akija sikia kuwa mwanamke ameolewa awe anakimbia huku analia kabisa.

sitaki polisi wala nini. Naombeni msaada wenu.adhabu ya kufaa kabisa. Sitaki mwua.nataka aishi akijutia jambo hilo milele.nyie si mnaona sisi tuliooa hatuna maana?basi haina shida...wallah atasimulia maana ntamwachia ulimi ili aweze simulia wenzie.

Nisaidieni ushauri wa Adhabu.sitaki maneno ya sijui polisi,sijui ushauri nasaha. Nataka Ushauri wa adhabu ya kufaa hasa ili iwe fundisho na kwa wengine.
Huyo tafuta watu wamfire tu hakuna namna ni kesi ambayo hawezi hata kukushtaki sabu ni ya aibu sana kuiongea kwa mtu...
........Kila siku tunaambiwa mke wa mtu sumu, kuna watu wanajibu tu eti wana maziwa, mara ooh hainaga ushemeji....
 
Kuna member mmoja hapa jf aliwahi kuweka kisa kama chako cha kuandaa fumanizi kumbe baharia alikuwa mjanja, alibadiri kiwanja na gari pia simu ikazimwa maana alijua nafuatiliwa....kilichofuatia walikuta manyoya na vilio vya "...Baba Junior umefanya nini sasa, umechelewa!...."
 
Basi nimeahirisha game mzee shukrani kwa uzi huu
 
Kuna member mmoja hapa jf aliwahi kuweka kisa kama chako cha kuandaa fumanizi kumbe baharia alikuwa mjanja, alibadiri kiwanja na gari pia simu ikazimwa maana alijua nafuatiliwa....kilichofuatia walikuta manyoya na vilio vya "...Baba Junior umefanya nini sasa, umechelewa!...."
em leta link ya huo uzi
 
Duu!!
 
je wote wamtongozao mkeo hua anakuweka wazi? kama hapana basi yote unayokusudia kufanya unajidanganya, kuliko kushughulika na huyo bwana ni bora umsihi na kumuombea mkeo aendelee na msimamo huo, unaweza mkomoa huyo bwana kumbe kuna wajuba wengine wanakuchapia
Huenda mke hajampenda huyo jamaa Sasa we jidanganye kumuadhibu
 
Wanaume Malaya huwa na wivu Sana, mbona wewe unachepuka, kwa taarifa yako wife kashachepuka siku nyingi hizo message Ni daganya toto. Mtenda akitendwa
nilingojea reply yako hatimae yametimia😂😂😂nchi ngumu sana nyie
 
Aiseeee

Kwani kweli una michepuko mingi?

Halafuuuuu....Huo uanaume gani wa jamaa akusaidie kuaga kwa mkeo? Tulia sasa usaidiwe na mengine
Yaani yeye mwenyewe tayari kaonyesha sio mwanaume kwa hilo.
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Fikiria Mara mbili... Kwanini usiongee nae TU... akajua kuwa unajua Nia Yake?.

Haonekanagi anaeanza anaonekana anaemaliza.

Chunga Sana usije fanya maamuzi yakakucost mkuu.
 
Unaanzaje kuomba ruhusa kwa mkeo??
Unatoaje namba ya mkeo kwa rafki zako??
Kuna matatizo mengine ni ya kujitakia mwenyewe.
 
Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu.nlisoma naye O Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu.

Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa tunatoka wote.

Jamaa alianza kumsifia sifia wife kama utani baadaye nikakata kabisa ukaribu naye nlipoona anazidi sana kutaka ukaribu.mwishowe akaanza mwambia wife kuwa mimi nina diversions nyingi sana.si mwaminifu.

Akaendelea na kuanza tuma texts za mapenzi n.k wife akawa ananionesha.sasa ameomba kabisa game.na anaomba iwe kesho au kesho kutwa yeye atakuwa free aende na wife popote atakapo.

Nimemwambia wife akubali.wamepanga kila kitu.na jamaa katuma 50,000 ya uber ili wife asitumie gari yake.

Sasa nawaza adhabu ya kwenda mpa jamaa. Maana ile 50,000 yake na nyingine ntakodisha watu watatu. Tutaenda sehemu hiyo.nataka nimfanye kitu ambacho yaani akija sikia kuwa mwanamke ameolewa awe anakimbia huku analia kabisa.

sitaki polisi wala nini. Naombeni msaada wenu.adhabu ya kufaa kabisa. Sitaki mwua.nataka aishi akijutia jambo hilo milele.nyie si mnaona sisi tuliooa hatuna maana?basi haina shida...wallah atasimulia maana ntamwachia ulimi ili aweze simulia wenzie.

Nisaidieni ushauri wa Adhabu.sitaki maneno ya sijui polisi,sijui ushauri nasaha. Nataka Ushauri wa adhabu ya kufaa hasa ili iwe fundisho na kwa wengine.
Acha kuingia mgogoro usio na ulazima chukua hiyo 50 kanunue kuku pika wali mkaribishe kwako. Kisha mnapokula unaanza kumwambia mkeo yule $@&%#@*€£ mwambie na kesho akutumie tena hela mkutane geust. Hapo utakuwa umeua mzizi wa fitina. Usilipize kisasi kwa hasidi ndugu yangu. Kama vipi chukua hiyo msg ya pesa mforwadie mwambie naona umemtumia mke wangu hela. Kisha tulia.
 
Nenda na mkeo siku ya tukio alafu mkanye jamaa ... hivi kumbe kuna wanawake waaminifu
 
Back
Top Bottom