Najiandaa kufumania kesho au keshokutwa. Nawaza adhabu mbalimbali za kutoa

"Jamaa ampigie simu amwambie kuwa tunatoka"
Yaani hiki kipengere kimenifanya nikose kabisa cha kukushauri ndugu yangu.
 
Huyo tafuta watu wamfire tu hakuna namna ni kesi ambayo hawezi hata kukushtaki sabu ni ya aibu sana kuiongea kwa mtu...
........Kila siku tunaambiwa mke wa mtu sumu, kuna watu wanajibu tu eti wana maziwa, mara ooh hainaga ushemeji....
 
Kuna member mmoja hapa jf aliwahi kuweka kisa kama chako cha kuandaa fumanizi kumbe baharia alikuwa mjanja, alibadiri kiwanja na gari pia simu ikazimwa maana alijua nafuatiliwa....kilichofuatia walikuta manyoya na vilio vya "...Baba Junior umefanya nini sasa, umechelewa!...."
 
Basi nimeahirisha game mzee shukrani kwa uzi huu
 
em leta link ya huo uzi
 
Duu!!
 
Huenda mke hajampenda huyo jamaa Sasa we jidanganye kumuadhibu
 
Wanaume Malaya huwa na wivu Sana, mbona wewe unachepuka, kwa taarifa yako wife kashachepuka siku nyingi hizo message Ni daganya toto. Mtenda akitendwa
nilingojea reply yako hatimae yametimia😂😂😂nchi ngumu sana nyie
 
Aiseeee

Kwani kweli una michepuko mingi?

Halafuuuuu....Huo uanaume gani wa jamaa akusaidie kuaga kwa mkeo? Tulia sasa usaidiwe na mengine
Yaani yeye mwenyewe tayari kaonyesha sio mwanaume kwa hilo.
 
Reactions: Luv
Fikiria Mara mbili... Kwanini usiongee nae TU... akajua kuwa unajua Nia Yake?.

Haonekanagi anaeanza anaonekana anaemaliza.

Chunga Sana usije fanya maamuzi yakakucost mkuu.
 
Unaanzaje kuomba ruhusa kwa mkeo??
Unatoaje namba ya mkeo kwa rafki zako??
Kuna matatizo mengine ni ya kujitakia mwenyewe.
 
Acha kuingia mgogoro usio na ulazima chukua hiyo 50 kanunue kuku pika wali mkaribishe kwako. Kisha mnapokula unaanza kumwambia mkeo yule $@&%#@*€£ mwambie na kesho akutumie tena hela mkutane geust. Hapo utakuwa umeua mzizi wa fitina. Usilipize kisasi kwa hasidi ndugu yangu. Kama vipi chukua hiyo msg ya pesa mforwadie mwambie naona umemtumia mke wangu hela. Kisha tulia.
 
Nenda na mkeo siku ya tukio alafu mkanye jamaa ... hivi kumbe kuna wanawake waaminifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…