Najiandaa kufumania kesho au keshokutwa. Nawaza adhabu mbalimbali za kutoa

Cha kwanza wewe umekaliwa, eti mkitaka kutoka jamaa ndo anakuombea ruhusa,,, wewe ni mwanaume surual,,, kakuonyesha uyu mmoja je hao wengne
 
Ina uhusiano gani au unataka kusema jamaa angeoa bikra haya mambo yasingetokea?
kwa mtazamo wangu ningelipa 10% kutokea bali na hivyo odds ziko against na mtoa mada na huenda uyo mkewe ashaliwa na anataka kuprove guilty kikubwa PLAY IT SAFE
 
Umeniboa sehemu moja

Eti kuaga unaogopa mpk unatuma rafiki yako serioussssssss????upo km wew ndo umeolewa vile?????

Sasa hilo tukio lako la kijinga ni tukio la kudhalilisha mkeo???

Kama huwezi kumface huyo jamaa na kumwambia aache useng* basi muache mkeo andelee kuchati nae...
 
unafika pale kwenye eneo la tukio unakua mpole mwenyeewe...mbinu zote ulizopewa na wana JF zimepotea!
 
Mkuu ukikosa kabisa adhabu....niambie....niongeee na mchizi wangu anafanya mambo ya uganga ...wewe andaa bajet ya 80000 tu
 
Uni TAG na mimi ntakuwa wa nne
 
Mwanaume unashindwa muaga mkeo kwamba unatoka. How stupid you are?

Mimi marafiki zangu wote hawana namba za mke wangu. Kuna shida watampigia bro angu.
 
Matatizo hutokea kwa sababu mbili tu,
1. Kuchukua maamuzi bila kuwaza.
2. Kuwaza sana bila kuchukua maamuzi.

Unachoenda kufanya kitaharibu maisha yako yote.
Utawafanyia hivyo wanaume wangapi?
 
Maamuzi ya kufanya ni kumuacha huyo mke acha kujitia kichaa baadae ukanyea ndoo
 
Badala ya kuhangaika na huo upumbavu, chukua hiyo 50K ukajipongeze kuwa umeoa kifaa! Ukiona mkeo hatongozwi tangu January mpaka Dec na hata ukikatisha naye mtaani hakuna mwanaume 'anayejisumbua' kugeuza shingo, ndugu, jua umelamba garasa.
 
Wanaume wengine ni wa hovyo sana, mimi eti rafiki yako anipigie simu kuaga kwa niqba yako, kwamba umekua mtoto mdogo labda, huo ni undezi
Mazoea kayaanzisha yeye afu saizi kapanic acha aue naye akatumikie kifungo.
 
Inaonekana mkeo ni pisi kali, uber anatumiwa elf 50! Mwache aende akiliwa atarudi na si chini ya laki 5 [emoji1787][emoji1787]
 
Bravoooo hii story ipo mumuhumu, jamaa gategesh amfumanie jamaa na mkewe, jamaa kawataimu kazima simu ya mwanamke na kubadili uelekeo
naomba niitafute tuwawekee hawa wanaume wanaojidai vifua mbele, mke analiwa na uchungu unaongezeka
cc@Komeo Lachuma
 
Wewe ndo ulianzaa uboyaaa...!! Yani Kumwambia mkeo unatoka mpaka Rafiki ako aongee nae?? Means rafiki yako ana power kwa mkeo kuliko wewe sasa why asimgongee?? Yani why???? Umeonesha uboya wa hali ya juu na ukute ashawahi kumlaaaa... Endelea kujisumbuaaa
 
Kama ukichelewa dk 3 unakuta ameshapigwa bao la kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…