Acheni kuiba kura ili mjitathmini mjipime ili muone kama Watanzania bado wanawahitaji, laasivyo mtakuwa mnajidanganya wakati hamtakiwi tena bali mnakaa madarakani kwa nguvu.No Mimi nilikuwemo ukumbini ila nimeshangaa sana kunyimwa haki yangu ya msingi
Naona michakato ya ndani ya vyama ina tofautiana. CHADEMA Kidogo wapo kidemokrasia zaidi, wagombea wake imebidi wauze sera zao na mipango yao. CCM kwa kipindi kingine wame nishangaza, mchakato wao ambao huwa ni kawaida kwa chama chao haujatiliwa maanani. Ila lazima wana sababu ya kupendekeza jina moja tuMimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM !
Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni wangapi wana nia ya kugombea nafasi hiyo ! Sijalizishwa na maamuzi yaliyotolewa hivyo najiandaa kwenda kuweka zuio mahakamani la kupinga mchakato wote wa Leo ambao Mimi nadiriki kuuita haramu !
Mahakama inisaidie katibu mkuu anipe fomu ya mimi kugombea na inipe haki ya kuomba kuteuliwa na chama changu kugombea nafasi ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Taja jina lako kwanzaNo Mimi nilikuwemo ukumbini ila nimeshangaa sana kunyimwa haki yangu ya msingi
Wewe tunafukuza kabisa uanachama kabla hata kesi kuanza. ππMimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM !
Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni wangapi wana nia ya kugombea nafasi hiyo ! Sijalizishwa na maamuzi yaliyotolewa hivyo najiandaa kwenda kuweka zuio mahakamani la kupinga mchakato wote wa Leo ambao Mimi nadiriki kuuita haramu !
Mahakama inisaidie katibu mkuu anipe fomu ya mimi kugombea na inipe haki ya kuomba kuteuliwa na chama changu kugombea nafasi ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Ni kuazimia sio kuadhimia..... CCM ni genge flani la kihalifuunaadhimia
mkuu unatafuta haki ndani ya wasiojulikana ? achana mambo ya haki bongo hayapo we labda uingie mstuni tu. haki??Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM !