Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM !
Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni wangapi wana nia ya kugombea nafasi hiyo ! Sijalizishwa na maamuzi yaliyotolewa hivyo najiandaa kwenda kuweka zuio mahakamani la kupinga mchakato wote wa Leo ambao Mimi nadiriki kuuita haramu !
Mahakama inisaidie katibu mkuu anipe fomu ya mimi kugombea na inipe haki ya kuomba kuteuliwa na chama changu kugombea nafasi ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania