Wana sababu, kina nani wana sababu?
Aliyependekeza jina la mgombea awe nani na apite bila kupambanishwa ni Mzee wa Chama, Jakaya Kikwete, ambae alikiri kwamba yeye sio mjumbe, na anashukuru kualikwa tu.
Baadae Mwenyekiti akasema ni Jakaya ndio alimwambia Rais "nipe hiyo maiki nikusaidie," baada ya yeye Mwenyekiti kukwama atumie utaratibu gani na kuomba ushauri kwa wazee.
Kabla ya hapo Mjumbe Kibajaji aliomba Mwenyekiti na Makamu watoke nje maana sio utamaduni wa CCM wao kuwa ndani. Unaendeshaje kikao cha kujipendekeza mwenyewe kuwa mgombea wa Urais ?
Mwenyekiti akakataa, akisema anataka mambo yawe wazi. Wazi kwa nani, kwake yeye amjue nani hamtaki ? Angekaa pembeni asingemwona kwenye TV kama sisi ?
Kwa mara nyingine tena, Rais mstaafu anaingia ndani ya kikao cha maamuzi na kufanya udikteta wa kuamua fate ya Urais. Alipofanya mara ya kwanza alikuwa outgoing president, akamkata Lowassa. (Sisemi Lowassa angekuwa bora kuliko Magufuli, naongea michakato ya kidemokrasia.) Leo tena kakata kila aliyekuwa na nia.
I lay the blame at the doorstep of Julius Nyerere.. He did it in 1985 for Mwinyi, and 1995 for Mkapa. Monkey see, monkey do. They are mimicking all the disastrous mistakes and misrule of the founding President.
We haven't found transformative, maverick leaders, to dare and upend those grotesquely undemocratic systems installed by Mwalimu Nyerere.