Pre GE2025 Najiandaa kumburuza katibu mkuu wa CCM mahakamani kwa kuninyima haki yangu ya kikatiba ya kugombea urais 2025 kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Labda track record ya Rais Samia na uwezo wa kutekeleza ilani ya chama ilikuwa deciding factor. Nitaamini pia kwamba majina yalipendekezwa kwa kuzingatia watia nia wengine ambao hawakuwa rasmi. Labda Chama kinawafahamu wanasiasa wake kuliko watazamaji wa mbali kama sisi
 
Sio wewe peke yako kuna wengine wamenunua na kuvimba kama vyura kwenye mkutano ila ndio hivyo tena
Jipange mwaka 2080
 
Watch your steps ,usije ukajikuta kwenye bwawa la viboko na mamba au kwenye mtaro unaelea.
 
Hili hata mimi nililiona jana, nenda huko kwa pilato wao, labda watakusilikiza
 
Daaaaa wameogopa kivuli chao sasaa....wamehepa kila Raiswjaye atafanya same same ......Chama hakina wakubwa kukemea hata wazee wamemgwaya bibi yule ???
 
Kilq la heri .usisahau kuleta marejesho .siku hizi hata Rais wa nch anaweza kukamatwa kufunguliwa mashitaka hata kupigwa viboko sembuse Katibu wa chama.
 
MMM hata kumtangaza makamu wa raisi nilishtuka ,ila poa tu mimi nitagombea uraisi wa kampuni yangu ya kuuza maandazi na vitumbua hizo nyingine watu wanajipanga aisee mapema mfano Rais wa TFF naona wamemtangaza mgombea mapema (yaani huo ni mfano) sasa sisi wengine demokrasia iko wapi?
 
Kabla hujafika mahakamani utakuwa huonekani.
 
Utakuwa Rais mjinga asiyejua hata lugha ya Taifa lake!
Jifunze kwanza lugha kabla ya kufikiria Urais.
Ni hivi, siyo mkutano Mkuu umeadhimia × ni mkutano Mkuu umeazimia✓ ( azimio) hakuna neno adhimio× labda wewe ni mpare!
Siyo Sijalizishwa× ni sijaridhishwa✓!
Hatuwezi kuwa na Rais boya kama wewe!
 
Sio kweli
 
Acha us----e. Nge wa primary
 
🤣🤣🤣🤣
 
Hii nakuunga mkono , ni haki ya wanachama kutia nia na kuomba kuchaguliwa katika taratibu halali wa kichama, na kupigiwa kura za ndio au hapana, upo sawa mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…