Najibu maswali yenu hapa...Uliza chochote

Maswali yangu
1: Mwanzoni ulipo join jamii forums ulikuwa tofauti na sasa je? Kwanini sasa upo tofauti na mwanzo?
2: Kwanini una chembechembe za kuchukia Dini ya Kiislamu?

Nitashukuru ukinijibu
 
Maswali langu

●Mkuu kila mtu anatakiwa abadirike! Hasa kama ulikua upo upande usio sahihi. Mkuu hebu nisaidie nilikua tofauti kivipi ili niweze kukujibu kiufasaha.
●Mkuu mm sichukii uislamu ila nachukia baafhi ya misimamo ya kislamu.. wanapenda kuonewahuruma muda wote
 
1. Unaweza kutoa mfano ni kwa namna gani waislamu wanapenda kuonewa huruma?

2. Kwa mtazamo wangu una chembechembe za ujuaji wa kiswahi swahili, kama jibu ndio kwa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mibas 30178448 said:

●Refer Eti wanaferisha wanafunza wa kiislamu
●Ujuaji upi kwa mfano mm sifahamu
 
●Mkuu kila mtu anatakiwa abadirike! Hasa kama ulikua upo upande usio sahihi. Mkuu hebu nisaidie nilikua tofauti kivipi ili niweze kukujibu kiufasaha.
●Mkuu mm sichukii uislamu ila nachukia baafhi ya misimamo ya kislamu.. wanapenda kuonewahuruma muda wote
Hongera sana mkuu maswali yangu umeyajibu ipasavyo
Sina cha nyongeza
Ubarikiwa sana
 
Iyo da vinch ukiongezea da nyingine inakuwa dada vinch..UNAZUNGUMZIAJE HILI

What you don't know is what will get you killed.
Mkuu ni mnyambulisho wa maneno tu Ila mtu akipenda kuita hivyo hamna shida coz haiathiri maisha yangu halisi..
Malcom lumumba hua ananiita hivo na naona kawaida tu
 
Back
Top Bottom