Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
●Mkuu kila mtu anatakiwa abadirike! Hasa kama ulikua upo upande usio sahihi. Mkuu hebu nisaidie nilikua tofauti kivipi ili niweze kukujibu kiufasaha.Maswali langu
1: Mwanzoni ulipo join jamii forums ulikuwa tofauti na sasa je? Kwanini sasa upo tofauti na mwanzo?
2: Kwanini una chembechembe za kuchukia Dini ya Kiislamu?
Nitashukuru ukinijibu
1. Unaweza kutoa mfano ni kwa namna gani waislamu wanapenda kuonewa huruma?●Mkuu kila mtu anatakiwa abadirike! Hasa kama ulikua upo upande usio sahihi. Mkuu hebu nisaidie nilikua tofauti kivipi ili niweze kukujibu kiufasaha.
●Mkuu mm sichukii uislamu ila nachukia baafhi ya misimamo ya kislamu.. wanapenda kuonewahuruma muda wote
●Refer Eti wanaferisha wanafunza wa kiislamuMibas 30178448 said:1. Unaweza kutoa mfano ni kwa namna gani waislamu wanapenda kuonewa huruma?
2. Kwa mtazamo wangu una chembechembe za ujuaji wa kiswahi swahili, kama jibu ndio kwa nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamkomoa ama?Briefly explain the theory of multiplication of individuals of the same species.
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataondoa multiple I'd kasemaUkipewa Jf sasa hivi unafanya maboresho gani? Yapi ungependa kuyaboresha na yapi ungeyaondoa..
Mkuu kwa mujibu wa imani yangu ya ukatoliki kunywa pombe si dhambi na haijakatazwa maana pombe ni kwajili ya mwili ila ulevi ndio dhambi maana ni chanzo cha maovu yote ulevi wa pombe
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hongera sana mkuu maswali yangu umeyajibu ipasavyo●Mkuu kila mtu anatakiwa abadirike! Hasa kama ulikua upo upande usio sahihi. Mkuu hebu nisaidie nilikua tofauti kivipi ili niweze kukujibu kiufasaha.
●Mkuu mm sichukii uislamu ila nachukia baafhi ya misimamo ya kislamu.. wanapenda kuonewahuruma muda wote
Mkuu ni mnyambulisho wa maneno tu Ila mtu akipenda kuita hivyo hamna shida coz haiathiri maisha yangu halisi..Iyo da vinch ukiongezea da nyingine inakuwa dada vinch..UNAZUNGUMZIAJE HILI
What you don't know is what will get you killed.