Hiyo ni dalili ya kwanza ya periodontitis.Unaweza ukapoteza magego yako yote. Muone daktari wa meno haraka iwezekanavyo.magego yangu yote yana mashimo,alafu fizi zinatoka damu mara kwa mara haswa kipindi cha asubui nikitoka kuamka
Sent from my iPhone using JamiiForums